Mimi sikulazimishi nataka nikusaidie utokane na hali za kuumizwa na mapenzi a.k.a uzwazwa! sasa kama unapinga basi dawa itakapokuingia vyema utanitafuta!.Kwann unilazimishe mkuu๐คฃ๐๐๐๐ tatizo Ilo ๐ ๐
siwezi kufuata ushauri wa zwazwa!Pole sana, fuata ushauri wa mtoa hoja sasa
Hayana fomula mkuu.Ikifika hatua mwanamke wako akasema havutiwi tena nawe, hiyo ndio kengele kamili inayokujulisha kuwa penzi limeisha na hakuna chochote unaweza kufanya kurekebisha uhusiano huo usife.
Utakua kiumbe mpumbavu na wa ajabu kuwahi kutokea duniani ikiwa utaanza kumpigia magoti kwa kumwomba asikuache wala hupaswi kumuuliza anakwenda kwa nani.
Na wala hupaswi kuuliza kwanini anakufanyia hivi. Ruhusu hilo zoezi lifanyike haraka mara moja, maana hukuachwa leo; alishakuacha kitambo. Alikua anafanya intelijensia zake taratibu, sasa ameshajiridhisha na ana kiburi.
Hupaswi kuchukia. Wala hupaswi kulia. Ruhusu upanuzi wa barabara ukafanyike.
Ni upumbavu wa hali ya juu sana kumwomba abakie maishani mwako. Kiumbe ambaye alishakuacha miezi 6 nyuma, kwa kuwa wewe ulikuwa usingizini, akikulisha maneno ya "I love you too" pale ambapo ulimweleza hisia za "I love you."
Acha hiyo biashara haina faida, itakuumiza na kukugharimu ukiishikilia.
Ni heri kutafuna mawe kuliko kujaribu kurekebisha mahusiano yaliyovunjwa na mwanamke mwenyewe.
Kama amemaliza biashara na wewe, kamaliza. Funguka, funga ukurasa, ondoka mahali hapo.
Haijalishi umewekeza kiasi gani. Hesabu hiyo ni kama hasara. Amka hapo ondoka zako, kungโuta matako, anza zako.
Hata kama ulisomesha, hiyo ilikuwa ni kazi ya baba yake, lakini kichwa cha mwendawazimu kiliamua kuingilia mradi. Hivyo ni haki yake baada ya kuhitimu masomo kuolewa na msomi mwenzake. Kungโuta matako, anza zako.
Hata kama ulimjengea kwao.
Hata kama uliwawezesha wadogo zake.
Hayo hayakuwa katika mapatano, uliingilia mradi.
Kungโuta makalio, anza zako hata kama inauma.
Najua inauma sana hiyo. Sasa itumie hiyo iwe nguvu ya kukufanya mwanaume shupavu tena.
Itumie kama gia ya kukusukuma toka bondeni. Tumia kama njia ya kuamka mtu mpya ambaye hautarudia upumbavu tena.
Maumivu na hisia za kuchoma ndizo humjenga mwanaume. Acha hili likujenge.
Man up.
Hujakutana na papuchu zenye vinyoka au vindama ndani ambazo ukiingiza vinaanza kunyonyaIkifika hatua mwanamke wako akasema havutiwi tena nawe, hiyo ndio kengele kamili inayokujulisha kuwa penzi limeisha na hakuna chochote unaweza kufanya kurekebisha uhusiano huo usife.
Utakua kiumbe mpumbavu na wa ajabu kuwahi kutokea duniani ikiwa utaanza kumpigia magoti kwa kumwomba asikuache wala hupaswi kumuuliza anakwenda kwa nani.
Na wala hupaswi kuuliza kwanini anakufanyia hivi. Ruhusu hilo zoezi lifanyike haraka mara moja, maana hukuachwa leo; alishakuacha kitambo. Alikua anafanya intelijensia zake taratibu, sasa ameshajiridhisha na ana kiburi.
Hupaswi kuchukia. Wala hupaswi kulia. Ruhusu upanuzi wa barabara ukafanyike.
Ni upumbavu wa hali ya juu sana kumwomba abakie maishani mwako. Kiumbe ambaye alishakuacha miezi 6 nyuma, kwa kuwa wewe ulikuwa usingizini, akikulisha maneno ya "I love you too" pale ambapo ulimweleza hisia za "I love you."
Acha hiyo biashara haina faida, itakuumiza na kukugharimu ukiishikilia.
Ni heri kutafuna mawe kuliko kujaribu kurekebisha mahusiano yaliyovunjwa na mwanamke mwenyewe.
Kama amemaliza biashara na wewe, kamaliza. Funguka, funga ukurasa, ondoka mahali hapo.
Haijalishi umewekeza kiasi gani. Hesabu hiyo ni kama hasara. Amka hapo ondoka zako, kungโuta matako, anza zako.
Hata kama ulisomesha, hiyo ilikuwa ni kazi ya baba yake, lakini kichwa cha mwendawazimu kiliamua kuingilia mradi. Hivyo ni haki yake baada ya kuhitimu masomo kuolewa na msomi mwenzake. Kungโuta matako, anza zako.
Hata kama ulimjengea kwao.
Hata kama uliwawezesha wadogo zake.
Hayo hayakuwa katika mapatano, uliingilia mradi.
Kungโuta makalio, anza zako hata kama inauma.
Najua inauma sana hiyo. Sasa itumie hiyo iwe nguvu ya kukufanya mwanaume shupavu tena.
Itumie kama gia ya kukusukuma toka bondeni. Tumia kama njia ya kuamka mtu mpya ambaye hautarudia upumbavu tena.
Maumivu na hisia za kuchoma ndizo humjenga mwanaume. Acha hili likujenge.
Man up.
Mimi au wewe ndo amtafute mwenzie ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐,Jana tu umetoka kuumizwa Leo uwe mshauri tatizo Ilo ๐Mimi sikulazimishi nataka nikusaidie utokane na hali za kuumizwa na mapenzi a.k.a uzwazwa! sasa kama unapinga basi dawa itakapokuingia vyema utanitafuta!.
Mkuu kwanini unaumizwa na mapenzi..?
ukiona unaumizwa na mapenzi tambua wewe ni zwazwa!.
Baba hapo umenena...big up sana!Ikifika hatua mwanamke wako akasema havutiwi tena nawe, hiyo ndio kengele kamili inayokujulisha kuwa penzi limeisha na hakuna chochote unaweza kufanya kurekebisha uhusiano huo usife.
Utakua kiumbe mpumbavu na wa ajabu kuwahi kutokea duniani ikiwa utaanza kumpigia magoti kwa kumwomba asikuache wala hupaswi kumuuliza anakwenda kwa nani.
Na wala hupaswi kuuliza kwanini anakufanyia hivi. Ruhusu hilo zoezi lifanyike haraka mara moja, maana hukuachwa leo; alishakuacha kitambo. Alikua anafanya intelijensia zake taratibu, sasa ameshajiridhisha na ana kiburi.
Hupaswi kuchukia. Wala hupaswi kulia. Ruhusu upanuzi wa barabara ukafanyike.
Ni upumbavu wa hali ya juu sana kumwomba abakie maishani mwako. Kiumbe ambaye alishakuacha miezi 6 nyuma, kwa kuwa wewe ulikuwa usingizini, akikulisha maneno ya "I love you too" pale ambapo ulimweleza hisia za "I love you."
Acha hiyo biashara haina faida, itakuumiza na kukugharimu ukiishikilia.
Ni heri kutafuna mawe kuliko kujaribu kurekebisha mahusiano yaliyovunjwa na mwanamke mwenyewe.
Kama amemaliza biashara na wewe, kamaliza. Funguka, funga ukurasa, ondoka mahali hapo.
Haijalishi umewekeza kiasi gani. Hesabu hiyo ni kama hasara. Amka hapo ondoka zako, kungโuta matako, anza zako.
Hata kama ulisomesha, hiyo ilikuwa ni kazi ya baba yake, lakini kichwa cha mwendawazimu kiliamua kuingilia mradi. Hivyo ni haki yake baada ya kuhitimu masomo kuolewa na msomi mwenzake. Kungโuta matako, anza zako.
Hata kama ulimjengea kwao.
Hata kama uliwawezesha wadogo zake.
Hayo hayakuwa katika mapatano, uliingilia mradi.
Kungโuta makalio, anza zako hata kama inauma.
Najua inauma sana hiyo. Sasa itumie hiyo iwe nguvu ya kukufanya mwanaume shupavu tena.
Itumie kama gia ya kukusukuma toka bondeni. Tumia kama njia ya kuamka mtu mpya ambaye hautarudia upumbavu tena.
Maumivu na hisia za kuchoma ndizo humjenga mwanaume. Acha hili likujenge.
Man up.
Pamoja mkuuBaba hapo umenena...big up sana!
๐๐พ๐๐พ๐๐ฝ๐๐ฝUmemaliza yote kiongozi...maneno KUNTU kabisa..Barikiwq sana
Asante sana kwa ujumbe murua mkuu,nnaamka nakung'uta matako yangu nasonga mbele kwa MBELE.Ikifika hatua mwanamke wako akasema havutiwi tena nawe, hiyo ndio kengele kamili inayokujulisha kuwa penzi limeisha na hakuna chochote unaweza kufanya kurekebisha uhusiano huo usife.
Utakua kiumbe mpumbavu na wa ajabu kuwahi kutokea duniani ikiwa utaanza kumpigia magoti kwa kumwomba asikuache wala hupaswi kumuuliza anakwenda kwa nani.
Na wala hupaswi kuuliza kwanini anakufanyia hivi. Ruhusu hilo zoezi lifanyike haraka mara moja, maana hukuachwa leo; alishakuacha kitambo. Alikua anafanya intelijensia zake taratibu, sasa ameshajiridhisha na ana kiburi.
Hupaswi kuchukia. Wala hupaswi kulia. Ruhusu upanuzi wa barabara ukafanyike.
Ni upumbavu wa hali ya juu sana kumwomba abakie maishani mwako. Kiumbe ambaye alishakuacha miezi 6 nyuma, kwa kuwa wewe ulikuwa usingizini, akikulisha maneno ya "I love you too" pale ambapo ulimweleza hisia za "I love you."
Acha hiyo biashara haina faida, itakuumiza na kukugharimu ukiishikilia.
Ni heri kutafuna mawe kuliko kujaribu kurekebisha mahusiano yaliyovunjwa na mwanamke mwenyewe.
Kama amemaliza biashara na wewe, kamaliza. Funguka, funga ukurasa, ondoka mahali hapo.
Haijalishi umewekeza kiasi gani. Hesabu hiyo ni kama hasara. Amka hapo ondoka zako, kungโuta matako, anza zako.
Hata kama ulisomesha, hiyo ilikuwa ni kazi ya baba yake, lakini kichwa cha mwendawazimu kiliamua kuingilia mradi. Hivyo ni haki yake baada ya kuhitimu masomo kuolewa na msomi mwenzake. Kungโuta matako, anza zako.
Hata kama ulimjengea kwao.
Hata kama uliwawezesha wadogo zake.
Hayo hayakuwa katika mapatano, uliingilia mradi.
Kungโuta makalio, anza zako hata kama inauma.
Najua inauma sana hiyo. Sasa itumie hiyo iwe nguvu ya kukufanya mwanaume shupavu tena.
Itumie kama gia ya kukusukuma toka bondeni. Tumia kama njia ya kuamka mtu mpya ambaye hautarudia upumbavu tena.
Maumivu na hisia za kuchoma ndizo humjenga mwanaume. Acha hili likujenge.
Man up.
Nawapenda wanaume waliotendwa kwenye mahusiano na ndo na wale walevi, ndio kipindi cha kuwa nao karibu na kuwafarijiIkifika hatua mwanamke wako akasema havutiwi tena nawe, hiyo ndio kengele kamili inayokujulisha kuwa penzi limeisha na hakuna chochote unaweza kufanya kurekebisha uhusiano huo usife.
Utakua kiumbe mpumbavu na wa ajabu kuwahi kutokea duniani ikiwa utaanza kumpigia magoti kwa kumwomba asikuache wala hupaswi kumuuliza anakwenda kwa nani.
Na wala hupaswi kuuliza kwanini anakufanyia hivi. Ruhusu hilo zoezi lifanyike haraka mara moja, maana hukuachwa leo; alishakuacha kitambo. Alikua anafanya intelijensia zake taratibu, sasa ameshajiridhisha na ana kiburi.
Hupaswi kuchukia. Wala hupaswi kulia. Ruhusu upanuzi wa barabara ukafanyike.
Ni upumbavu wa hali ya juu sana kumwomba abakie maishani mwako. Kiumbe ambaye alishakuacha miezi 6 nyuma, kwa kuwa wewe ulikuwa usingizini, akikulisha maneno ya "I love you too" pale ambapo ulimweleza hisia za "I love you."
Acha hiyo biashara haina faida, itakuumiza na kukugharimu ukiishikilia.
Ni heri kutafuna mawe kuliko kujaribu kurekebisha mahusiano yaliyovunjwa na mwanamke mwenyewe.
Kama amemaliza biashara na wewe, kamaliza. Funguka, funga ukurasa, ondoka mahali hapo.
Haijalishi umewekeza kiasi gani. Hesabu hiyo ni kama hasara. Amka hapo ondoka zako, kungโuta matako, anza zako.
Hata kama ulisomesha, hiyo ilikuwa ni kazi ya baba yake, lakini kichwa cha mwendawazimu kiliamua kuingilia mradi. Hivyo ni haki yake baada ya kuhitimu masomo kuolewa na msomi mwenzake. Kungโuta matako, anza zako.
Hata kama ulimjengea kwao.
Hata kama uliwawezesha wadogo zake.
Hayo hayakuwa katika mapatano, uliingilia mradi.
Kungโuta makalio, anza zako hata kama inauma.
Najua inauma sana hiyo. Sasa itumie hiyo iwe nguvu ya kukufanya mwanaume shupavu tena.
Itumie kama gia ya kukusukuma toka bondeni. Tumia kama njia ya kuamka mtu mpya ambaye hautarudia upumbavu tena.
Maumivu na hisia za kuchoma ndizo humjenga mwanaume. Acha hili likujenge.
Man up.
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐Pamoja mkuu ๐๐ฝAsante sana kwa ujumbe murua mkuu,nnaamka nakung'uta matako yangu nasonga mbele kwa MBELE.
Halafu mwanaumeUzi mzuri ila umeharibu kwa kutia emoji nyingi