Wanaume mnashauriwa kufanya usafi sana wa maeneo haya ya mwili...

Umetisha ,Salute you somo zuri sana hilo.
 
Yaan bora hata umesema maana wengine wanatia kichefuchefu..halafu utasikia nataka mwanamke msafi! Nani aliiwaambia wanawake wasafi wanavumilia huo uchafu? Mbadilike mambo mengine yanakera.
 
Na sinyoi, misitu ndio inayoleta mvua..

Halafu dume zima utaanzaje kujinyoa nywele za tako!? Unajikunja kabisa unapititsha shaver rwaah rwaah.. Pumbavu kabisa..
Ndo maana wengine wanatoa harufu za ajabu ajabu...hizo nywele ukiziacha halafu ukute kutawaza tu hujui yaan utaganda...dah wanawake tunavumilia mengi
 
Ukiona mpenzi wako hajanyoa chukua wembe umkwangue,ukiona kila Akioga hatakati chukua dodoki umsugie ndio maana mnapitwa na mademu wa kitanga wao huwezi kuta wanalalamika ni vitendo tu.
Kwa nini usubiri kuogeshwa kila siku? Kwa wewe mlemavu? Mjiongeze na nyie..hao wa kitanga wanakutana na wanaojielewa hata sisi tukikutana na wanaojielewa hatulalamiki
 
Haahha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha haaa
Naona kuna mtu umemfikishia ujumbe wake humu mujarab kabisa.
 
Na sinyoi, misitu ndio inayoleta mvua..

Halafu dume zima utaanzaje kujinyoa nywele za tako!? Unajikunja kabisa unapititsha shaver rwaah rwaah.. Pumbavu kabisa..
Ha ha haha haaa we jamaaa sio mzima kabisaa
 
Haha haa boxa wiki mbili au sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…