Wanaume mnashauriwa kufanya usafi sana wa maeneo haya ya mwili...

Mwanaume pesa usafi peleka kwa wanawake wa kitanga
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume pesa usafi peleka kwa wanawake wa kitanga
Sent using Jamii Forums mobile app
 
UCHOKOZI HUU
 
Ila na nyie wanawake mnafuga misitu ya akiba hasa mikoani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tangu nizaliwe mpaka leo,kesho..na kuendelea sitanyoa
 
Kuna wanaume wana vuzi kama steel wire .linachana chana papuchi ukitoka hapo unafungwa bundeji mwezi.
Vuzi lingine guumu kama fensi ya Umeme mpaka linapiga shot I
Kweli nyoeni vuzi,ili vitu vikutane nyama kwa nyama bna
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] si mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baadhi ya wanaume ni wachafu wa mwili na mazingira..jmn ni kero mnoo hasa mwanamke ukiwa msafi...mahusiano uko radhi yavunjike hivihiviii
 
SI UNGEWAAMBIA TU HAO WANAUME WAO WASIOJUA KUJISAFISHA, USIKUTE HUMU HAWAPO NA PIA HUMU HAKUNA WACHAFU, HEMU BADILI TARGET MARKET YAKO IPANDE JUU KIDOGO UONE KAMA UTAKUTANA NA HUO UCHAFU
 
Baadhi ya wanaume ni wachafu wa mwili na mazingira..jmn ni kero mnoo hasa mwanamke ukiwa msafi...mahusiano uko radhi yavunjike hivihiviii
Ni kweli kabisa.

Ila kuna wanawake wachafu...na kwangu aheri mwanaume uwe mchafu mwanamke huwezi kukaa naye hata nusu dakika.
 
Ni kweli kabisa.

Ila kuna wanawake wachafu...na kwangu aheri mwanaume uwe mchafu mwanamke huwezi kukaa naye hata nusu dakika.
Yahh mwanamke mchafu ni janga mara mbilii..acha yani
 
Siungetujia PM ! kutuchamba hivi mbele ya watoto ndio nini sasa...?
 
Wanawake siku hiz sijui wanataka nn Mara pesa mahandsome or wasafi saiv wanataka wanaume wanaonyoa nywele za mferejini duuuhhh dunia simama nishuke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…