Wanaume mnashauriwa kufanya usafi sana wa maeneo haya ya mwili...

ukinyoa mara kwa mARA yanajaaaaaaa
ukinyoa mara kwa mara yanajaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Angalia sasa nimejikata na wembe kwenye mfereji..navuja damu sasa sjui nieke Plasta au nikanunue Pedi namimi...

muwege mnatoa na angalizo..nishajikata mimi...shenz kbsa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umekumbuka na makata m*vi
 






kwahyo umeona yanga vs kagera sugar tu za simba je kutoa mfano
 
Uko kwingine sawa ila kwenye ule mfereji ,not to that extent
 
Nimecheka sana. Eiseh !! ungekuwa mwanaume ungekuwa unajua kutongoza balaa.
 
Angalia sasa nimejikata na wembe kwenye mfereji..navuja damu sasa sjui nieke Plasta au nikanunue Pedi namimi...

muwege mnatoa na angalizo..nishajikata mimi...shenz kbsa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aaaahaaaahahaha! te! te! tte! umenifurahisha wewe! sasa mie msitu ndo napendaga hasa ukiwa mweusi tii, una alama ya ''v'' nitatoa kila kitu, full mzuka. uoshege tu, hasa wamanga akivua pichu yale majani yanalalaga kimtelezo kuelekea huko nafanya kuchambua tu. kipiripiri na njano sipendi wewe inaonekana unaonaga ya njano njano ndo machafu pole weeee!
 
umesahau fungus wa miguuni wainame waoshe pia,na kukausha wanavaa viatu vya kufunika week nzima.

af siyo dawa ya mswaki ni dawa ya meno. wengine watatafuta dawa yamswaki hawataipata rekebisha hii.
 
Usijali nitayafikisha haya kwenye kikao cha wanaume
 
Dawa si muoge wote kwani kazi yako ni nini, beba mgongoni peleka bafuni, aogee kisosi mademu wa tanga safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…