Wanaume mnashauriwa kufanya usafi sana wa maeneo haya ya mwili...

hatari sana
 
mwanamke mbaya sana wewe tukiwa tumelala fofofo unaamka unanyata unatuvua boksa unaanza kukagua mifereji yetu ya makalio,ila hilo la mifereji ya makalio mbona hata kwa wanawake ni tatizo unakuta mfereji una ukurutu hatari
 
NAOMBA UNISAISDIE MAJIBU HAPA INABIDI UKAE STAILI IPI UNAPONYOA HAPO?


Pia nywele zinazokaa kati kati ya makalio ya mwanaume Mungu kaziweka kwa ajili ya kuondoa msuguano baina ya kalio moja na lingine
pia hua hazioti na kuwa ndefu kabisa kama mavuzi yalivyo
Pia ziko automatiki kwa binadamu yeyote haziongezeki urefu wake
pia hauwezi jua zipo hadi uguse kama mda unaojifanyia usafi unaoga ama unatawaza,
Pia Mungu kaziumba ziko very very soft yaani huwezi jua kama unazo kabisa kabisaaa

Toka nimezaliwa sijawahi pitisha wembe hilo eneo wala sitarajii leo ama kesho hivi mwanaume unapitishaje kiwembe matakoni Unajinyoa jamani?
Inakuja kweli? man Be Honesty unapitishaje kiwembe matakoni?
Muhimu kuzingatia usafi tu hayo Mengine waachie wengine

Jambo Lingine Sijawahi nyoa nywele za kwamba then sinakikwamba wala hazitoi majsho ya kero yachuruzike yajichore hadi katika nguo hamna kabisa kitu kama hicho

Vuzi lenyewe mwanaume unanyoa hata mara moja kwa mwezi ama usinyoe kabisa unazingatia usafi tu

Ukilisafisha linakuwa jeusi safi kabisa linavutia kabisaaa shida mnangalia sana porno zinawaharibu
afu ukiwa na mtu wako ndiye atazingatia usafi wako

Wewe mtoa mada inaonekana unatoka na kila mwanaume sasa ndio maana inakukera ila ukiwa na mt wako mmoja si mnaishi kwa raha na kuelewana kabisa?

Kuna raha kwa mwanaume unaoga povu lote tunalizalishia kwenye mavuzi safi kabisa
mwanamke akikuangalia anasisimka kabisa mwili wake

Mwanaume tunazingatia kuoga vizuri na usafi wa hali ya juu,
Kabla ya tendo mnaenda mnaoga mnakuwa safi kabisaaa, ila ukiwa kilwa mwanaume twende ndio shida unazopata kama hizi unakuja kutufungulia mda kama hizi
 
My Appearance kwanza nimefuga ndevu aisee
yameshona yakutosha,
Hizi huwa nazichonga kwa pembeni tu zinanifanya nionekane mwanaume

Pia kwapani sikumbuki mara ya mwisho lini kunyoa ila zilizopo zi nyeusi kama zinapakwa black kumbe nazingatia usafi tu
nikishuka kifuani zimeanzia hapo kiasi kushuka hadi tumboni
Nikioga hivi zinalala kbisa najisikia burudani kuziona kwakweli

Huku chini ndio huwa natumia mkasi kunyoa lakini hua inatokea mara chache sana hukuti
madude meusiiii hadi yanang'aa haswaa, yanaburudani haya madude yaani mwanamke aniguse haelewi ameweka mkono sjavuni au wapi?
Nazingatia usafi tu kuyaosha inapendeza sana aiseee

Pia mwanamke kama haupendi manywele yangu we pita kushoto tuu, wala usijisumbue kuja kunishauri kunyoa ndio unipende
then wapo wanawake wanaopenda muonekano kama huu hao ndio nawatafuta nyie mnaoangalia porno endeleeni hukohuko

pia ukiwa na tabia ya kutoka na kila mwanaume ndio unakutana na kero kama hizo ila ukiwa na mtu wako mnapendana mnaambia na mnajua namna bora ya kushi na kufurahia mahusiano yenu

Pia kuhusu nywele za makalioni nakushauri acha kuangalia porno
 
Aisee umenivunja mbavu
 
Angalia sasa nimejikata na wembe kwenye mfereji..navuja damu sasa sjui nieke Plasta au nikanunue Pedi namimi...

muwege mnatoa na angalizo..nishajikata mimi...shenz kbsa
Hahaha......pedi tena! Hatateee.....
 
Maisha yanabadilika hebu nielekeze napata wapi hiyo mouth wash nami nizidi kupendeza na bei zake zimekaaje
 
Hata nyie wanawake ni wachafu sana tena sana yani mimi huwanatamani sana kuzama chumvini ila kulivyo kuchafu nahamuwa kuairisha tuuu
 
Wewe ni mkali nakuaminia tangia sikunyingi mzee yani
 
Yale yanaitwa makata mavi mkuu
Na sinyoi, misitu ndio inayoleta mvua..

Halafu dume zima utaanzaje kujinyoa nywele za tako!? Unajikunja kabisa unapititsha shaver rwaah rwaah.. Pumbavu kabisa..
 
Ukiona mpenzi wako hajanyoa chukua wembe umkwangue,ukiona kila Akioga hatakati chukua dodoki umsugie ndio maana mnapitwa na mademu wa kitanga wao huwezi kuta wanalalamika ni vitendo tu.

Sawa kungwi
 
Sinyoi na nataka ulale na mim mbele tu hamna namba sas
 
@free stress id Kuna mmoja ban alinyanyua mkono kweny daladala mhhh kumtizama aiseh hzo nywele za makwapa ni chafu hadi zimekua nyeupe peeeh yani sijui kama anajua shaver huyo

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
nasemaje sinyoi naenda kibaruani kutafuta hela....
 
Ama mnajidanganya eti kwakuwa konkii ndio inaingia ndani hakuna haja ya kunyoa nani kasema? wewe huyo huyo unataka mdada wa watu sijui akunyonye naniliu, nani yuko tiyari kubeba v,zi kwenye meno?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…