Wanaume msiwe hivi!

Iga hii kutoka kwangu., ukishaanza hicho kinywaji punguza kuongea sana, punguza kuandika andika hovyo mitandaoni, ila kwa vile humu tumo anonymous we mwagika tu ila chunga effects za hicho kilevi huchelewi kudisclose identity yako, anyway leo unakunywa Bar gani hapa mjini nije nikupe Windhoek 15?
 
Pole
 
Sasa my ndo umekuja kunitangaza?
 
Inategemea, huenda wewe ndo ulimfanya awaongelee ma X.

Mfano : unakutana na mwanamke unampenda alafu anaanza kukuulizia kuhusu wanawake wako wa zamani, what do you expect hapa
 
Mbususu haijawahi kuwa tamu!

Tumefanya kosa kubwa wanaume, la kuwaaminisha wadada kuwa mbususu zao Ni tamu!
Na bahati mbaya wadada wameingia kwenye mtego huo wa kuamini

Mwanamke Sasa ana wivu mno, hata anaposikia habari za ma ex!

Anawaza labda mbususu za ma ex zilikuwa tamu mno!

Anawaza "je, mbususu yake itakuwa tamu zaidi yao?

Ili umfariji unatakiwa umwambie ma ex hawakuwa watamu, Ila wewe mtamu!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Anawaza "je, mbususu yake itakuwa tamu zaidi yao?

Ili umfariji unatakiwa umwambie ma ex hawakuwa watamu, Ila wewe mtamu!
Unaemwambia hivyo hajui anataka nini, kuna wanawake sipendi kua na mahusiano nao type za mtoa mada, katongozwa humu, atapigwa mimba humu na atazalia humu namaanisha humu JF
 
Ebu fanya ivo kwangu uone kama nitafanya kama huyo mvulana Alie ku ignore
 

Sasa wewe mbunye unaombwa wiki nzima na wala hutoi.
Walaaa kwanini asikumbuke ma-X.

Mkiombwa msi delay sanaaa kutoa.

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…