wataalamu wa mambo wanasema wanaume wanaovutiwa na Wanawake wenye matiti makubwa hali zao za kiuchumi hua duni
Mimi siamini..naomba wanaume mtuthibitishie kama ni kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Sielewi zinahusianaje kati ya hali ya uchumi na hiyo kituwataalamu wa mambo wanasema wanaume wanaovutiwa na Wanawake wenye matiti makubwa hali zao za kiuchumi hua duni
Mimi siamini..naomba wanaume mtuthibitishie kama ni kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi sioni na siamini mkuuSioni kabisa uhusiano baina ya hivyo viwili aisee.
Sio kila tafiti ni ya kuamini, zingine zimefanywa na mtu mwenye hali duni
Sio kila habari imeandikwa tafiti zinasema basi ujue ni tafiti kweli. Hiyo tafiti ingebidi aielezeee hatua kwa hatua hadi jinsi mtu mwenye hali avyopinda big boobskwa nini tusiiamini?