Wanaume muda mwingine wanaboa sana

Haipendezi mkutane face to face kwa Mara ya kwanza na kutoa papuchi,cha msingi ni kuvumiliana kwanza,halafu muda ukifika utapewa bila shida,siku hiyo hiyo unafika unataka papuchi mmmmh haiwezekani!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Utakataa labda jamaa kakufuata wewe.
Fikiria kama wewe ndiye ungemfuata mkoani atokako, ukaenda kwa ajili yake.
Alafu akwambie leo hatutaweza kuwa pamoja! Utamfikiriaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dahhh! Kweli kwenye miti hakuna wajenzi umeshakaribishwa hadi hm sasa haraka ya nini tena

Ningekuwa Mimi ningeenda hapo gest ningelipia siku mbili ningelala asubuhi wala nisengetoka angekuja tu kunisalimu mgeni wake hapo unakula mzigo kiulaini kabisa

Jamani wadada jf mi nipo dar ila hata kama upo kimara haina shida nitakuja tu kwako tutaongea alafu utanipeleka gest ya karibu nikalale ila siku ya pili usisahau kuja kunisalimia karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…