mkamanga original
JF-Expert Member
- Jan 21, 2015
- 637
- 663
Mzee,badili swaga iwe vitunguu maji siyo vitunguu swaumu!Mtu anaweka neno 'Mungu' kwenye mada iliyojaa vitunguu swaumu, na yeye eti ana ndoto ya kuolewa..rubbish!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmefahamiana na mwanaume kwenye mitandao ya kijamii,mnaanza kuchati mnazoeana
Siku anakuomba aje kukusalimia unakokaa,unamwambia hamna shida njoo
Anapanga siku anakuja,unampokea,unamkaribisha nyumbani kwako
Unampikia,anakula anashiba mnapiga stories
Inafika usiku unaenda guest kumchukulia chumba cha kulala ili apumzike ili kesho mzidi kupiga stori na kufahamiana zaidi anakataa
Anakulazimisha mlale naye chumbani kwako,unakataa unampa sababu ,kwa kuwa ni mara ya kwanza kukutana uso kwa uso nakuomba ukalale guest kesho tutaongea zaidi ,bado anakataa anakulazimisha mlale chumbani kwako
Basi unaona isiwe shida halafu ni mgeni unamuachia chumba chako alale ,naenda kwa rafiki yangu wa kike nikalale anakataa
Naonyesha msimamo anuna na kuzira na kuondoka usiku huo,namuacha anaenda,nafunga mlango naingia chumbani kwangu nalala,ila nachukua sim kumuuliza alipoenda kulala,hapokei sim,namtext ananijibu "Amesafiri kutoka mkoani km 720 halafu alale mwenyewe,wewe mwanamke hufai na huna huruma"
Wanaume bwana mungu anawaona
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke anayecheka tukio kama hili nina mashaka na sura au shape yake!Kuna mtu alifunga safari dar hadi Arusha kufuata Papa. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahahahaha. Ameshajikoki ale papa halafu unamwambia habari gani???[emoji23][emoji23][emoji23]
Hao ndiyo wanaume bhana.
Kama wewe ulivyonifanyia..Akija jf lazima akuandikie uzi akupondeee mashetaniii tu nyie wanaume mxeeeeew
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji39]mxeeewKama wewe ulivyonifanyia..
Dunia haina huruma kwa kweli.....
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mm sitak bhn[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Naendelea kukulia timing tu..
Mkuu heshima kwako.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Naendelea kukulia timing tu..
Nitakunasa tu we subiri
Heshima kwako pia mkuu.
Heshima kwako pia mkuu.
Mungu ni mwema mkuu, page nyingine kashanifungulia hapa
Kwa kuwa sifa ulizozitaja sina, basi natumia mlango mwingine kuvuna hiyo neema [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa kuwa sifa ulizozitaja sina, basi natumia mlango mwingine kuvuna hiyo neema [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]