Wanaume na " CHOVYA CHOVYA " Kulikoni?

hahahaha!
Usije ukarudi tena ukasema watatu.
Na mimi nishamuongezea mmoja, ila hakunifanya kitu.

Kumbe na hao wa chekechea nao tunawahesabu? Hata kufika mawenzi/kibo tulikuwa hatujui ni nini hao hawahesabiki bana
 
Yule wa chekechea, Primary, o'level, a'level mbona umewasahau???

Nimesema chekechea sina wa primary wala A wala O level.

Chekechea sikumbuki wangapi tulikuwa tunacheza baba na mama tunajificha na kila siku tofauti tofauti kwanza mwaka 1957 nitakumbuka kweli?
 
Gbollin kwan na ww ushaduu wangap mkuu? vp nilioduu nao kwnye kombolela wanawekwa kwenye listi?
 
Waliotajwa ndio wanatakiwa kuchangia au na wengine? embu fafanua ili tujimwage
 

Kuna binti mmoja msemakweli, sikumoja nilmhoji juu ya Wasichana wengi husani wanaohtimu elimu ya juu!

Nilimuliza, Je naweza nikapata Binti bikra alihtimu elimu ya Juu!
Majibu alonipa yalinistua sana! Aliniambi wengi wao akitoa takwimu za ukweli juu ya wanaume alitembea nao coster moja na Hiance hujaa! We unasemaje juu ya hli?
 
Haahahaa wewe unataka kunipa sababu nyingine kuwa Galz ndo wanaongoza kwa hii kitu. LOL
Mmh sio chini 25 ila umri ni chini ya 25!Mpango wangu ni kudabo hiyo namba kabla sijaolewa ili nikiolewa nisione kuna jipya lolote nje!
 
Gbollin kwan na ww ushaduu wangap mkuu? vp nilioduu nao kwnye kombolela wanawekwa kwenye listi?

Mkuu,
Mpaka sasa kama 34 hivi na kuna kibinti kinanivutia sana hapa mtaani ila naogopa kuitwa fataki kwa sasa.
 
Mada yako nzuri sana ila siwezi kutoa jibu la jumla kwa sababu mbalimbali.

Tabia ya mwanaume au mwanamke hutegemeana kulingana na mahusiano ya watu hawa wawili wanavyowasiliana.

Mfano> km mwanaume anapewa heshima na mapenzi yote na staili zote anazopenda, na mwanamke wake ana mvuto wa kutosha, kiasi kwamba mwanaume hata akiwa kazini anamkumbuka umbo lake, sura yake na vimbwanga vyake kitandani, hapa mwanaume hana sababu kubwa ya kurukaruka kwenda kuchovya nje.

Unajua wanaume huwa na tamaa tu ya muda mfupi ambayo huwapelekea wale wasioweza kujizuia kurukaruka huku na kule.

Wanawake nao vile vile wanataka au wanapenda uwajali na kuwaheshimu. tatizo linalojitokeza kwa wanawake wengi ni kutowaamini wanaume hata km wanapewa haki yao km inavyostahili. Wanawake wengi huzidisha maombi kila wanapoona unazidi kuwa karibu nao. Wanawake pia ni wasiri sana na wanaweza kuwa na mahusiano ya nje bila hata wewe kushtukia.

Kwa mtizamo wangu, ni tabia tu ya mtu mmoja mmoja na haiwezi kuchukuliwa kuwa ni wanaume tu ndio CHOVYA CHOVYA au na wanawake pia wanapenda KUCHOVYWA!

UJUE KILA BINADAMU ANAMAPUNGUFU YAKE HIVYO HUWEZI KUPATA ALIYEKAMILIKA KATIKA KILA NYANJA.

Mie nadhani wanawake wana uwezo mkubwa sana wa kuwa handle wanaume ila hawakitumii kipaji hiki ipasavyo. Kuna baadhi ya wanawake akiongea na wewe unajisikia kabisa anakugusa rohoni na hata km una mambo yako ya kipuuzi basi utaanza kurudi nyuma. Hivyo wanawake wana nafasi kubwa ya kuwafanya wanaume kuacha mchezo wa kuchovya chovya nje ya mahusiano.
 
Mmmmmh Mbona unazungumzia boyz tu, hebu nambie na wewe vipi dozen wanafika?????

Unaweza ukashangaa idadi ukiwaammbia wapenge mstari ni Dar mpaka Moro idadi yake hiyo
 
Dah!!!
Haya bwana, ndo utafiti unaendelea?
Nitarudi baadae!!
 
Mkuu,
Mpaka sasa kama 34 hivi na kuna kibinti kinanivutia sana hapa mtaani ila naogopa kuitwa fataki kwa sasa.

ka2pie ndoano 2 hako kawe ch 35. kati y hao bk zilikua ngapi.mana mi ninalist ndefu inacontain bk tatu 2.ujue mademu w cku hiz kwnye kuchakachuliwa ni balaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…