Wanaume na I LOVE YOU


Ni vizuri kwa mwanaume kumwambi mtoto wa kike kile ambacho angependa kusikia badala ya kumwambia ukweli. Bila hivyo, mambo hayaendi!
 
Ujue its irreversible,ukishakuwa nayo ndo Basi tena, there is no turning back
Sasa alinunua ya nini kama pesa ya credit hana?‘Aiuze basi anunue credit ili awe anaazima simu badala ya kuomba credit!
 
nikipigiwa cm na my njuli tukianza agana utasikia:.

My njuli: honey

Mttmagwanda:yes me lov

My Njuli: i love you magwanda

Mttmagwanda:i love you more me love.

Nani anasema latumika vibaya?

Aaaagggrhh!
 
Mwanaume anayekupenda utamjua hata kama asipokutamkia hilo neno. Anayekudanganya pia utamjua hata akwambia mara trillioni.
 
You are absolutely right! subiri mungu akujalie akuoe,ndio utaona ni bahati kubwa hata kuitwa jina lako jina lako,maana kawaida huenda mpaka akafikia kukuita-wewe, wewe !unajidai husikiii eeeh?we kuku! it pains bt that is life!
Hilo nalo neno.
Wear and tear.
Even Love obeys the law.
 
Mwanaume anayekupenda utamjua hata kama asipokutamkia hilo neno. Anayekudanganya pia utamjua hata akwambia mara trillioni.

Nadhani nakubaliana na hili..ni vile tu tunajifanyaga hatuoni!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…