Wanaume na I LOVE YOU

Mi nina girlfriend sijawahi kumwambia I love u japo namega kama kawa, hata kumwita sweet, baby, sijawahi na sidhani labda siku nikianza kula rumbesa
 
we sigma hii thread ya kwako hadi uifunge? we vp? inakuuhusu eeh?
Wanionea bebii, nianzie wapi kuifunga,
sio mod mimi.
hilo biti duh! Punguza ukali, me love you so bebii
 
We sigma wa kunilove utakuwa wewe? Invisible? Kama jini je?
 
Wanawake na I MISS YOU.

Sidhani kama ni bomba I love u? i miss you? yote hayo ni kukondeshana tu cha msingi mnaduuuuu na maisha yanakwenda mbele mkikutana mnapeana ahadi nyingine tena basi hakuna cha I love you wala kiss me!
 
Kumbe mtu akiniambia i love u nimpige mzinga eeh?
 
aisee sina kumbukumbu lini mzee kanitamkia hilo neno, mara nyingi ni vitendo, afu likitamkwa kila siku kama linapoteza ladha vile!!!!!
 
Mkuu nadhani nature ya dada zetu huchangia ktk hili, wadada wakibongo wakitongozwa na wanaume, wasipo ambiwa I LOVE U hawatuelewi. So wanaume hulazimika kulitumia hilo neno kwa wingi kama karanga!
 
Kwani kabla ya huyo MR. I LOVE YOU alikua anamuomba nani?!

Bebii...Nirushie na voucher basi...I hate kusikia hilo neno na akinambia hivyo basi jua imekula kwake chali yangu simrushii na wala simpigii simu.. wanawake wana tabia moja ambayo huwa siipendi sana.. baby nirushie , unamtumia 5000 anakubeep ana anakutumia Sms ..Thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…