Wanaume na I LOVE YOU

Eh nikurushie kwa lipi?
 
Sidhani kama ni bomba I love u? i miss you? yote hayo ni kukondeshana tu cha msingi mnaduuuuu na maisha yanakwenda mbele mkikutana mnapeana ahadi nyingine tena basi hakuna cha I love you wala kiss me!
Hebu chungulia kule nimeishakutumia feedback
 
Sigma i never accuse... Bebii is still learning... What i do is just ignore the guy....
"Never get angry. Never make a threat. Reason with people"
Your signature speaks it all.
Or you can just "make an offer he can not refuse".
 
Hi ina mantiki yake, "Mwanamume anapenda kile anachokiona, mwanamke anapenda kile anachosikia". Lakini kutokana na matumizi mabaya ya maneno kama ninakupenda, leo umependeza sana bibie, nguo hii imekutoa vizuri , ambapo wanaume tunayatumia kama chambo, imefika wakati wanawake wamepoteza imani na sasa hali imebadilika. Sasa "wanaume wanapenda kile wanachosikia na wanawake wanapenda kile wanachoona".

Mwanamume utampumbaza ukimwambia unampenda hata ya uongo. Mwanamke anayethamini mapenzi (sikusudii wachumi na wahitaji ambapo fedha ndio msingi wa mapenzi), utamteka ikiwa ataona kutoka kwako upendo, kumjali, umakini, kumpa ulinzi na usalama wa maisha yake.

Kwa hiyo wanaume, tubadili mbinu za vita. Blah, blah, blah imeshazoeleka sana. Kama chambo, I LOVE YOU sasa haifai tena.
Ah! These are just my own thoughts and you don't have to agree with them.
 

Kwanza hapa elewa kuwa sio wote wanaotoa hilo neno I Love u hawamaanishi wengine wanamaanisha kile kitokacho moyoni mwake kwa yule anayeambiwa
Pili si kila nitakayemwambia I love u ninamtongoza inawezekana she is my dear friend and i love her so much as a friend na inaishia hapo
tatu sio neno hilo ndo kubwa sana kwenye kutongozea wanaume tuna mbinu nyingi za kutongoza na hilo neno ni just kama maneno mengine tuu na haijalishi linatolewa katika mazingira gani
Kwani nikikuambia I love u ndo natongoza ahhhh
 
Ndo mjue kutofautisha wadada wenye nia nzuri na nyie na wachunaji.Ningekua mwanaume ningekua nawauliza kabla yangu alikua hatumii simu?!Kama jibu ni ndio basi apate vocha huko huko alikozoea.
 
I Love you!! Always means I take advantage of you, B’cozladies seems to like be cheated, even cheats appearance by wearingwigs, makeup’s, they feel to good when you tell them that they looks like JLO, Monicaof Bill, Bouyance, Samantha, and many like Hollywood's chicks, whichever J’Loget to wear or any Hollywood’s chicks put on, even to show their secrets inner,they turn to be crazy about it. Since ladies wanted to be themselves, in appearancestylish and way they wanted to be. Guys will be ashamed to say I love u since theyare not
 
Kabla ya kulaumu ni vyema mkajua maana halisi ya hilo neno!Maana yake ni kubwa na haina mahusiano na mjadala huu!
 
Nachukia sana mauongo yenu wanaume
 
"Never get angry. Never make a threat. Reason with people"
Your signature speaks it all.
Or you can just "make an offer he can not refuse".


My best friends most ni guys... almost woote ni wale walinitongoza
ikaonekana hawawezi kua ..... Thus they turn out to be really GREAT friends...

Hua naanza na hio strategy yako... "Keep your friend close, your enemy Closer"
Alafu at the end wanakua sio enemies tena for wanakua BFFs
 
Umeona akili zao, hata umpe vocha za kiasi gani ataishia ku-beep tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…