Wanaume na I LOVE YOU

Sasa jamani.........utajuaje hii "I LOVE YOU" ni ya kweli, na hii "I LOVE YOU" ni ya uongo????!!!!...........msaada wajameni???
 
Need me say more?
 
TF the said house was destroyed by fire last night

Hilo neno lina maana kubwa sana kwa anayeambiwa na anayetoa so msilichukulie kiurahis rahisi hivyo
Really! I just walked out of it this morning.
 
Mbona wanawake tutakoma?
 
Kumbe na kwenye mapenzi kuna uchina eeh so utajuaje hii mbrother ni original na mlove u wake?
 
Sasa jamani.........utajuaje hii "I LOVE YOU" ni ya kweli, na hii "I LOVE YOU" ni ya uongo????!!!!...........msaada wajameni???
Siri ya anayesema.
Difficult to read someone's mind. And akikuambia "I love" Ya kisanii atafanya sanaa kamwe huta-doubt. Labda umkamate ugoni
 
Listen dia!Is not that simple!Kuna I LOVE U za kichina nyingi sana siku hizi!

Hilo ndo tatizo nafikiri, ndo maana bebii akaja na hii thread.............

Nilichokuwa nataka kusema, it is not easy at all...........inahitaji "research" ili kujua hii ni ya uongo.........mhhhh!!!
 
Siri ya anayesema.
Difficult to read someone's mind. And akikuambia "I love" Ya kisanii atafanya sanaa kamwe huta-doubt. Labda umkamate ugoni

Ni kweli kabisa, ya waongo inakuwa na msisitizo zaidi....LOL
 
I LOVE YOU ya kweli ni ile unamwambia mtu kama ni kweli basi asimame barabarani agongwe na gari kwa ajili yako akikataa utajua tu hiyo I LOVE YOU ni ya uongo......feel me!!!????

Hahahahaha...hiyo safi sana.....🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…