Mama hebu mshauri huyo mwanamke aache kuumiza kichwa chake. Kwani hawezi kutulia na kukubali kwamba yuko kwenye fungu la kukosa? Kwani kama hakuchi si unafungua mlango unaendelea na safari? Akiendelea kulazimisha hata hizo ahadi za mwezi wa 9 ambazo amekuwa akipewa hatapata na badala yake ataanza kupewa chai (zamani tuliambiwa kuchapwa vipoko ni kupata chai). Best wishes for her new life baada ya kukubali kipigo cha 3 - 0!
watu wanawaza hivyo kwasababu WANAWAJUA SANA WAKE ZAO,WANAJUA MAZINGIRA WALIYOKUTANA AT FIRST!kwa mfano mimi nilikutana na waifu kanisani wakati tunakomunika....unadhani nitafikiria uwezekano wa waifu kwenda jolly?...
kwa hiyo mama-la-charity haya mambo hayako straight ki-hivyo....!kuna combinations of factors zinazompelekea mtu kufikiria otherwise.\
binafsi sitawalaumu wanaume kufikiria hivyo kwasababu NINAONA MAMBO MENGI SANA KWENYE NDOA ZA MARAFIKI/WASHKAJI/MAJIRANI/NDUGU n.k
watu wanawaza hivyo kwasababu WANAWAJUA SANA WAKE ZAO,WANAJUA MAZINGIRA WALIYOKUTANA AT FIRST!kwa mfano mimi nilikutana na waifu kanisani wakati tunakomunika....unadhani nitafikiria uwezekano wa waifu kwenda jolly?...
kwa hiyo mama-la-charity haya mambo hayako straight ki-hivyo....!kuna combinations of factors zinazompelekea mtu kufikiria otherwise.\
binafsi sitawalaumu wanaume kufikiria hivyo kwasababu NINAONA MAMBO MENGI SANA KWENYE NDOA ZA MARAFIKI/WASHKAJI/MAJIRANI/NDUGU n.k
atawezaje mwenyewe? au unamaanisha waachane nyamayao? ila ni ngumu sana kumwacha mtu unampenda, mzazi mwenzio na zaidi ya kukataa kwenda mbele kusema "i do" hajakukosea kitu na anakujali na kukuonyesha upendo wa kweli, shida ni hiyo ndoa tu!
best hebu nieleweshe more about kurudi kundini nimeipenda hiyo, je kwa watu hawa wa RC ipo na how?sio kuachana, nina rafiki yangu alifanya hivyo, ana watoto 2, lakini alienda kurudi "kundini"...walutheri wananielewa, na mie mwenyewe nilikuwa cjui hiki kitu, kwasasa hata ikitokea kama kifo anazikwa kama mkristu kamili...Chris hivi na sie tuna hiyo?
MAZINGIRA namaanisha hichi ulichokiandika hapo!Kuhusu Mazingira sijaelewa unamaanisha nini.Lakini nasikia watu wengi wanasema WAKE ZAO waliwapata bar(barmeid) na wametulia sana kwenye ndoa .Yani ni tofauti na wengi waliowapata kwenye kwaya kanisani(wanakuwa mapepe).
best hebu nieleweshe more about kurudi kundini nimeipenda hiyo, je kwa watu hawa wa RC ipo na how?
haya nami nilitaka nirudi kundini alone! ila nafikiri kwa RC inaweza kuwa hakuna hicho kitu, my mr wangu ye kanisani ni kama jela, tunaenda kubatiza mtoto tu labda nisubiri ubarikio ndio ataenda tena. teh teheee!kwa RC cjajua kama ipo hii kwa kweli, cjaickia, lakini muulize mlutheri yoyote atakuelewesha vizuri kuhusu kurudi "kundini"...huyu mdada nadhani kama ni mlutheri atakuwa hashiriki"chakula cha bwana"..akisharudi kundini ndio ataweza kushiriki na itakapotokea kama kifo atazikwa kama mkristu kamili, huyu friend wangu yeye yupo cngle, alichumbiwa na mwanaume wakaishi pa1 mimba ya pili ndio alikuja kugundua bwana ana mke huko kwao...mchezo uliishia hapo ndio akaamua kurudi wanavyosema kundini tena mwenyewe mwenyewe.
wapendwa naomba mnisaidie kwa hili, kwanini wanaume ni waoga sana kuingia kwenye ndoa? yani hata kama mmeishi pamoja ikija kwenye suala la ndoa ni kupiga kalenda tu, ni kwanini inakua hivyo? je anakua hana mapenzi na mwenzi wake lakini anaendelea kudanganya kuwa anampenda?
haya nami nilitaka nirudi kundini alone! ila nafikiri kwa RC inaweza kuwa hakuna hicho kitu, my mr wangu ye kanisani ni kama jela, tunaenda kubatiza mtoto tu labda nisubiri ubarikio ndio ataenda tena. teh teheee!
Haya bana.Mie mwenzio nipo kwenye level ya KUSIKIA bado.Ili baadae nije nijionee mwenyewe kwa macho yangu .MAZINGIRA namaanisha hichi ulichokiandika hapo!
habari ya kukutana na waifu bar...HALAFU AMETULIA,again unasema WATU WENGI,AGAIN UNASEMA UNASIKIA TU!lol
i won't declare it A THEORY BWANA!
halafu mwnzio SISIKII SIKII....!NINAONA KABISA:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
karibu valuu mama
Mom kumbe mnaishi wote....tayari wewe ni mke sasa kukuoa si formality tu kwani kuna la ziada atakalo pata hapo ??
kweli sheria za Mungu zipo kwa ajili ya kutulinda sisi lakini sijui kwa nini huwa hatutaki kuelewa hivo tuaona ni kama zinatunyima uhuru vile.
matokeo yake ndo haya!!! najaribu kufikiria tungekuwa hatuzini au ku-cohabit, si kila mtu mwenye wito wa ndoa angeingia kwenye ndoa? lakini sasa yule aliye kwenye ndoa hana tofauti na wale ambao wanjifanyia mambo yao informally....so why should one bother??
Inaafatana na mtoa uamuzi. Inaweza kuchukua mwaka, na hata miaka! Ila wengine tunaogopa MAJUKUMU! Unajua yula wakukutana na kuachana, hana gharama!
Couldn't agree more...! Halafu nadhani kuna optimum time ya kufanya maamuzi- mkikaa sana ule moto huwa unapoa mpaka mnaonana wa kawaida tu (ukizingatia ukweli kwamba girls/women wanatend kuzeeka kwa kasi hasa wanapokuwa wamezaa vitoto kadhaa) - ikifikia hapo, usije shangaa mtu akaingia mitini ukasikia tu ameshaoa...:biggrin1:
hahaha!mimi ndo maana huwa naogopa sana wakina mama!Haya bana.Mie mwenzio nipo kwenye level ya KUSIKIA bado.Ili baadae nije nijionee mwenyewe kwa macho yangu .
Valuu siwezi kutumia,itachafua Damu niliyokunywa.
mwenzako huyu si aliomba ndoa na mmme akampa definition ya ndoa thena kamuuliza inamaana hukujua kama ndoa ni muungano wa watu wawili walioamua kuishi pamoja kwa hiari, so it means ss tunandoa. ila sasa kwa wale tuliolelewa kidini tukikumbuka yale mafundisho ya dini tunaanza kuamini tunamakosa sana
ha ha ha ha!I hate your avatar.....this is from the deepest part of my heart!!!