Wanaume na nguo za kubana

barooti

New Member
Joined
Dec 23, 2017
Posts
4
Reaction score
1
Mko poa au VP? Napenda kuelimisha jamii yakitanzania kuhusu ili jambo vijana wengi wamepotea in the name of fashion without knowing it's origin. Nguo za kubana hasa kwa wanaume niutanblisho wa ushoga kwa inchi za ulaya ama zote inchi ambazo ushoga umehararishwa kwa maana ya kwamba utamblike fasta utongozwe .mwene kwelewa ameelewa
 
Hata hujaeleweka naomba u edit uzi wakooo[emoji81][emoji81][emoji81]
 
siku hizi kimavazi ni kazi sana kujua nguo gani ya men na ipi for dadaz,vikamatia chini sijui wanaviita
 
Pamoja na pochi za kike eti humo kuna pafyimu nilikuwa naangali FNL EATV jana,vijana wa kiume wameaanza kuharibika.
 
Tumuulize Mrisho Mpoto.
 
Ndio maana vibamia wengi, vidude vinabanwaaa hata havipumui.
 
Iyo ni ulaya na hii ni africa ni vitu tofauti mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…