Wanaume na njia za uzazi wa mpango

Wanaume na njia za uzazi wa mpango

Wakanda2021

Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
70
Reaction score
8
Wana jf natumai mko poa. Naomba kulifahamu hili kwa mwenye kufahamu. Bila shaka wanaume nao wanatumia njia za uzazi wa mpango sasa inakaaje hapa kwa wao hawana madhara yozoteyawapayo
 
Back
Top Bottom