pearl where are they I can,t find one
[/COLOR]
angalia angalia vizuri tupo bana
unajipenda hashy???
Ni mwanaume huyo huyo..Naona zimekuzi hizo nye..... zako. Njoo tuzitulize (mwanaume huyo) fanya haraka tukutibu usije ukaugua ugonjwa wa kucheka cheka bure
wewe umenenanafikiri hakuna asiye na vituko dunia ya leo wanaume/wanawake wote vituko nachokiona tumeishia kuangalia zaidi vituko kuliko kutafuta suluhisho.
ukiona kituko cha mwanaume nyuma kuna mwanamke/ sawa na upande wa pili kituko cha mwanamke nyuma kuna mwanaume .
aah laaaziz kipenzi cha mtima wangu.....nimekumiso ile mbaya
umeniacha mimi na hangover za jana ukatorokea huku sio??? Halafu unaleta nawe vituko eti angalia tupo bana,uache kabisa!!!
Na mimi ngoja nitoe jibu simple tu. SIYO WANAUME WOTE.
be patient and trust in GOD alwaz,he will lead you the way!usikurupuke wengine wanaume na wengine magume gume!
na vya wanawake je?