Wanaume na wanawake tumbua jipu linalo kukera.

Mke wa MTU tumbo kubwaa kiblauzi kinachobana sket fupi miguu fito hii nin sasaaaa.

Dela linakuhusu ushauri tu.

over USIKU MWEMA WADAU WA UZI HUU.
 
Na suala la mshahara wangu unakuwa wa familia nzima lakini mwanamke ukipata wa kwako unauficha hutaki utumike nalikemea kwa nguvu zote...Haiwezekani kabisa unapata mshahara na mimi napata ila unategemea wa kwangu tu..sio fair huu msemo wa Mume ndio kichwa cha familia mnautumia vibaya sana wanawake...kichwa bila kiwiliwili ni kazi bure..Mishahara tuunganishe kwa pamoja tujenge familia kwa maisha bora
 
Imeandikwa mwanamke pambo la nyumba sa pambo litapambikaj bila ela kutumik na kun mwanaum gani anaependa mwanamke ambae yupo hovyo na ili asiwe hovyo lazim mwanaume uhakikishe mwanamke wako yupo good anavutia masaa 72ukimtizama unafurahi
Aisee nyie wanawake vitu vizuri vyote mfanyiwe tu..na sisi wanaume mbona hamtufanyii hivyo kiasi cha kufanya tukawaganda zaidi tusitafute michepuko??
 
mi kero yangu kubwa japo wana uhuru wakufanya watakavyo lakini uvaaji wa mawigi ni moja kati ya mambo yanayonikereketa,inakuaje mdada wa kiafrika unavaa manywele ya bandia ili ufanane na mzungu/mwarabu/wareva.sibora hata usuke rasta,tena mwengine anaongea kwa pozi kabisa eti hii ni peruvian,sjui real human hair,nachukia sana tabia hii,mnakuwa watumwa wa fikra,kuamini wakoloni na tamaduni zao ni bora zaidi kuliko sisi na tamaduni zetu.mbadilike
 
Mke wa MTU tumbo kubwaa kiblauzi kinachobana sket fupi miguu fito hii nin sasaaaa.

Dela linakuhusu ushauri tu.

over USIKU MWEMA WADAU WA UZI HUU.
Doh,!
 
Swadakta
 
Basi siku ukiwa na hasira zimalizie kwangu... Ukimaliza kunitolea povu... I kiss u...
Haaaaaaaaaaaaaaaa nikiwa na hasira u know me nalia tu.. You hold me tight nikimaliza kulia [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] najikuta tu nimefurahiiiii eti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…