Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
Kweli mnapenda afya zenu
Wakati mwingine ni swaga tu, unakuta koti unalo lakini huna pa kulivalia sababu ya joto, na huna gari la kiyoyozi kwa hiyo inabidi uliache tu.
Siku ukipata hali ya namna hii unaanza kutafuta koti lilipo unatupia, unaonekana nadhifu umevaa koti au unapiga suti kabisa. Ila makoti ya baridi kama yale wanavaa watu wa Arusha siyapendi aisee!