hahahahhNani mwanaume wa Dar???[emoji32][emoji124] [emoji124] [emoji124]
Sent from my Armor using JamiiForums mobile app
Rafiki nitakukata masikio ujue![emoji4][emoji4][emoji4]hahahahh
wewe hapo
Umetisha sana mkuu.Kweli nimeamini ndio maana hata baba yako sijawahi iona sura yakeHuu ndiyo ukweli wanawake na wanaume wasiopenda kupiga selfie wanasura mbaya, hawajipendi, hajiamini pia hawapendi kuona sura zao maana ni mbaya na hazina mvuto.
Usitokwe povu huu ndiyo ukweli.
Kweli kabisaTatizo la ushoga ni gumu kulimaliza kama biashara ya madawa ya kulevya...
Daah,mkuu ww ni me au ke?hahaha povu ruksaaaa