Tehe tehee....umeona eeeh!!! anajali gari kuliko mke ndio manake
Nawasi wasi hata inspector nae ni mwanaume... kamwambia asihofu atalipata tu hilo gari lake. safi sana!Yaani mwandishi anatoa ujumbe kuwa wanaume mna tendency ya kujali zaidi magari yenu kuliko wake zenu ambao ndio maisha yenuu