Wanaume ndio mmefika huku jaman?

Wanaume mnatembeaje mmeshikana mikononi Doh![emoji23] [emoji134][emoji125][emoji125][emoji125]

Nimekutana nayo sasa hivi maeneo ya mikocheni,nimeshangaa sana,inabidi ukizaa mtoto wako wakiume umpeleke hata kenya akaishi huko
Hujui mombasa is part of kenya ?
 
Hata kama ubesti umezidi sio kushikana mikono ni bora muwekeane mikono mabegani at least!
Vipi na hao wanawake wanaotembea wameshikana mikono ni wale wa matango na dildo?
 
Siku moja natoka sehemu nipo kwenye gari naona jamaa moja limevaa tait na limepaka lipstick kwenye mdomo wake toka siku hiyo nilihama Dar.
 
Wanaume mnatembeaje mmeshikana mikononi Doh![emoji23] [emoji134][emoji125][emoji125][emoji125]

Nimekutana nayo sasa hivi maeneo ya mikocheni,nimeshangaa sana,inabidi ukizaa mtoto wako wakiume umpeleke hata kenya akaishi huko
Kumbe ni Dar.

Hata usishangae.
 
Juzi niliona hii maeneo ya sinza,.nikashangaa kidogo,nikaambiwa ni mtu na mwanae,.hahahahaa tena walikuwa wanairusha rusha hivi kama mm nikifanyaga na babe..
 
Mimi nilifikiri ni hivi kumbe ni mambo ya Darisalama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…