Wanaume ndio tunaowahalibu wake zetu

Kanali mwime

Member
Joined
May 5, 2018
Posts
71
Reaction score
171
Habali wakuu nimeleta Uzi unaosimama upende sahihi WA wake zetu sisi wanaume, sina shida na wapenzi nasema na walio ktk ndoa, wanaume sisi sio waaminifu kabsa mwanaume tumekua wasaliti sana, tufikilie maumivu tunayo yapata sisi tukisalitiwa hata wao huumia hivohivo, naomba tubadilike wana ndoa
 
point yako ni IPI mkuu fafanua vizuri sijakusoma fresh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…