wanaume ni kama watoto

Dada zangu sisi wanaume ni kama watoto
Ukiona boyfriend wako ana hasira Sana
We muwekee ziwa mdomoni atatulia tu mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wa arusha hawadeki kama unavyotaka kudekezwa

a tree is known by its fruit
 
Ukiona mzee anaitwa baby ujue anatengenezewa mazingira ya kupigwa kizinga.Ila ukiona kijana anaitwa baby ujue anawazulumu watoto waziwa.
 
Afanye hivyo kwa mwenye mapengo lkn sisi wenye meno kinachofuata kesi hiyo utasikia kwenye vyombo vya habari
 
Sasa kama maziwa yenyewe yamesha kuwa kama ndala za fundi viatu atanyamaza kweli?

Ziwa saa sita sawa, but haya ya wanakwaya wa kanisa la Sabato haya?
 
Dada zangu sisi wanaume ni kama watoto
Ukiona boyfriend wako ana hasira Sana
We muwekee ziwa mdomoni atatulia tu mwenyeweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
wewe ni wa mkoa kwani?

ziwa linawekewa madawa ya kulevya, limbwata, dawa za uzezeta nk huku Dar siku hizi watu hawatumii

Ukisha lewa sasa nisikilizie kichapo chake, km mbwa mwizi, utakoma kulinga watu wa bara wameibiwa sana.ogopa demu chuchu saa sita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…