Wanaume njooni kwa wingi tujadili qualities za "Wifey Material"

Wanaume njooni kwa wingi tujadili qualities za "Wifey Material"

Ulivyoweka mambo hayo yakusadikika(dini) nimeacha kusoma uzi wako
 
mwanamke anatakiwa awe na tako hata kama hajui kusoma nitakuwa namuachia simu
 
Hofu ya Mungu halafu akibehave kilokole wakati wa shoo unamsema na kumpiga chini then unawasaka mapenzi uchafu.
 
Ulivyoweka mambo hayo yakusadikika(dini) nimeacha kusoma uzi wako
juzi si umetoka kupika kwenye pasaka ulifungulia mapishi yako uzi kabisa mkuu

Sahiv unasema dini mambo ya kusadikika
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

I'm on that good kush and alcohol
 
Awe anajua kupika kwasababu napenda kula..
Awe na UNO FENI sababu kapuni😜
Awe anajua kulea watoto sio watoto wanakuwa kama mizimu iliyofufuka kutoka katika wafu! Nazingatia afya ya mwili na akili kwa watoto kwasababu ni future world.. wao wanatakiwa wapige steps nyengine zaidi ya sisi tulipoishia Sasa wakiwa hiyo mizimu ktk wafu hizo steps zitatokea wapi!...
 
Ukipata mwanamke ambae ukim suprise hata kwa kitu kidogo analia machozi kabisa yale halisi(not pretender)
bro usije muacha akaenda zake coz ni mtu mwenye hisia sana na wewe.

Mwanamke wa hivyo ni lazima atakua na sifa hizi!
-Atakuvumilia sana pale utakapomkosea(ila siku alisema over jua kamaanisha)
-Atakutetea dhidi ya jamii hata kama wewe utakua na makosa(ulevi, umalaya etc)
-Atakufichia siri.na madhaifu yako huku akihangaika kupata suluhisho taratibu(hapa wazee wa kimoja chali tunahusika)
-Atakua tayari kujitoa kwa hali na mali kwa ajili yako.
-Huyu atakufumania lakini atakupiga vi ngumi vya kike(hata haviumi)kisha ataondoka, lakini baadae ukirudi kumuomba msamaha atakusamehe kwa dhati kabisa ya kutokamoyoni
 
Back
Top Bottom