Ukipata mwanamke ambae ukim suprise hata kwa kitu kidogo analia machozi kabisa yale halisi(not pretender)
bro usije muacha akaenda zake coz ni mtu mwenye hisia sana na wewe.
Mwanamke wa hivyo ni lazima atakua na sifa hizi!
-Atakuvumilia sana pale utakapomkosea(ila siku alisema over jua kamaanisha)
-Atakutetea dhidi ya jamii hata kama wewe utakua na makosa(ulevi, umalaya etc)
-Atakufichia siri.na madhaifu yako huku akihangaika kupata suluhisho taratibu(hapa wazee wa kimoja chali tunahusika)
-Atakua tayari kujitoa kwa hali na mali kwa ajili yako.
-Huyu atakufumania lakini atakupiga vi ngumi vya kike(hata haviumi)kisha ataondoka, lakini baadae ukirudi kumuomba msamaha atakusamehe kwa dhati kabisa ya kutokamoyoni