Wanaume sio ATM!!!


Hahahaha Fynest nadhani ujumbe umekufikia bila chenga!Asante dearest!
 

Kwasababu tu mtu kakupeleka huko kote haina maana uanze kuomba na kumletea list ya matatizo yako yote au kumletea watu wa ziada kwenye date!
 
Dah!!! Ndio umeamua kuua mazima kabisa l.o.l
 

nilikua nakutafuta,kumbe uko huku.'we need to talk'.
 
ni kweli kuna wanawake wanakera, hivi kwanini wanawake wajirekebishe na kuishi maisha ya kujitegemea, alafu sababu ya kwenda na rafiki kwenye appointment kunaonesha kutokukomaa na kujiamini, kwa nini usipange sehemu ambayo unahisi utakuwa comfo ili kuepusha rundo la watu nyuma yako, and by the way mambo unayoenda kujadili huko sio matangazo ya vifo ambayo kila mtu anatakiwa kujua. jifunzeni kujitegemea na muache kubandika wanaume majina ya ajabu.
 
Kuweni wakali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…