Wanaume someni hii

Naona bi FaizaFoxy haungwi mkono na wadau wanaojaribu kuchangia mada hii.
Mimi kwa upande wangu namwunga mkono kabisa bi FaizaFoxy kwa mchango wake. Ni ujinga kuanza kumlaumu mwanamme aliyeweka mimba wakati hakukuwa na mpango wowote mzuri katika huko kuweka hiyo mimba kwa mwanamke husika. Nionayo mimi ni kwamba, iwapo msichna au mwanamke atapata mimba bila mpango maalum, huyo anapokosa huduma kwa mume aliyempa mimba asilaumu. Hii itakuwa ni kwa sababu amejitakia mwenyewe kwa uasherati wake.

Uasherati ni dhambi kwa dini zote na hata kwa wasio na dini. Inakuwaje mwanamke uanze kufanya ujinga huo bila mpangilio kisha uanze kumlaumu huyo mjinga mwenzako? Hilo unatakiwa kulikomalia mwenyewe wala usimlaumu mtu.

Iwapo mhusika kabakwa na kupata mimba hilo ni suala jingine, mhusika huyo hata vyombo vya dola vitamsaidia. Mwenyewe umefungua pochi yako na kuiweka wazi mbele ya wahuni, kisha mhuni moja akaja na kuweka sumu ndani yake huku unaangalia na kumsaidia uhuni wake na kuchekelea kw furaha, halafu eti akishakamilisha kile alichotaka na kuondoka zake, unamwambia mbona anakuacha solemba.....ala!

Kifupi tuache uzinzi, tupate watoto kwa njia halali yaani watoto katika ndoa, tukiwa hivyo hata watoto wa mitaani watapungua kama siyo kutoweka kabisa.

Lindi la wanaume kukataa watoto na wengine kuwatelekeza linazidi kuchukua chat,tatizo lenu nini hasa? Kama hujawa tayari si uache kuliko kutelekeza mama na mtoto?
Inaumaaaaaaaaaaaaa.
Poleni, ila na nyie muache kujilengesha

tatizo wengi wanajiachia kwa matarajio ya kumbana mwanaume... hata malengo ya kudhani annajiaminisha kwa mwanaume kwa kutojali kinga

faiza kuna wababa wanawakataa watoto wao ingawa wamezaliwa ndani ya ndoa. Hilo nalo utasemaje?

Lindi la wanaume kukataa watoto na wengine kuwatelekeza linazidi kuchukua chat,tatizo lenu nini hasa? Kama hujawa tayari si uache kuliko kutelekeza mama na mtoto?
Inaumaaaaaaaaaaaaa.

in red, sema hamkuwa tayari yaani wewe na mwenzako!!kosa lenu mnaumiza watoto....unatakiwa ujue kuwa huwa hakuna majaribio kwenye kale kamchezo, lazima kataleta matokeo (mtoto) ambayo yanakupasua kichwa sasa!!next time ujipange
pole sana BINTI77

in red, sema hamkuwa tayari yaani wewe na mwenzako!!kosa lenu mnaumiza watoto....unatakiwa ujue kuwa huwa hakuna majaribio kwenye kale kamchezo, lazima kataleta matokeo (mtoto) ambayo yanakupasua kichwa sasa!!next time ujipange
pole sana BINTI77

kama hukuwa tayari kwa nini ulimvulia chupi???

kuna wababa wanawakataa watoto wao ingawa wamezaliwa ndani ya ndoa. Hilo nalo utasemaje?

hilo hata chizi hawezi kufanya japo tunalazimika kupokea mtoto paspo hata kujua maadam uko kwenye ndoa na kila cku uko naye kitandani ila huwezi kulaumu ukiletew mtoto labda kama kuna mtangano ndani ya nyumba

Ndio maana in the beggining nilisema wazi kuwa hii mada ni complex..........hapa hatuwezi kupata jibu la moja kwa moja kwamba ni jambo gani linawafanya wanaume watelekeze watoto wao waliowazaa nje ya ndoa......... kwanza hata mtoa mada ame-generalize, wanaume wote kana kwamba wanaume wote wamezaa nje ya ndoa. haya ni makosa.
But........ nakubaliana na yeye kwamba hili tatizo ni kubwa na linasababishwa na mambo chungu mzima.......ni vigumu sana kulizungumzia hili jambo na kuwaacha wazazi nje.......Yes, wanapaswa kuwajibika, kwani wao si walezi, sasa kama malezi ya mabinti zako umeyaweka rehani unatarajia nini?
Na ndio maana sipingi maoni ya Faiza Fox, ameeleza ukweli.
Swala la malezi ya watoto wa kike katika familia nyingi, yamejaa utata mtupu, mabinti hawaambiwi ukweli, wanaambiwa tu ngono mbaya, ngono uchafu, ngono ni dhambi..........na vitisho chungu mzima........ hiyo haisaidii, bado tunahitaji elimu rika kwa kiwango cha kutosha, tunao Waalimu wazuri sana majumbani mwetu wanaitwa TV, Redio na mikanda ya video inayokwenda kinyume na maadili yetu. wakati wewe unapiga kelele ya ngono ni mbaya, upande wa pili inasifiwa.............kipi ni kipi?
No no no no.. we need to be serious.... watoto wanatakiwa waambiwe madhara ya ngono zembe, ili hata akifanya anajua ata-face consequences za tendo hilo..........

Faiza pamoja na kugonga kitufe cha "like" imebidi niandike kwa sababu nimeukubali mchango wako. Ninapinga huu utaratibu wa wanawake kujiona kuwa ni victims kila mara wanapofanya uamuzi wa kuzini bila kuchukua tahadhari na kuishia kuzaa. Wangejua nguvu za ushawishi walizonazo juu ya wanaume kwa kupitia kwenye hizo kufuli zao tusingekuwa tunapata hizi post za malalamiko yasiyokuwa na msingi.

faiza kuna wababa wanawakataa watoto wao ingawa wamezaliwa ndani ya ndoa. Hilo nalo utasemaje?

Huyo unampiga kibuti aende akatange tange mbele ya safari. Hapa ndio pa kujuwa kuwa wanawake tunatakiwa tuwe responsible na maisha yetu na tusikae kutegemea wanaume. Tusome na tufanye kazi kwa bidii na tusiwe magoli kipa.

Wanaume wengi wanategemea wanawake kwa kila kitu chao (wengine hata kufuli zao wanataka wafuliwe na wake zao) na sisi tunawaendekeza kwa kujiweka kuwa kuolewa ni kama tumenunuliwa. Hakuna zaidi ya kuwa mwanamke unajitegemea na utapo amuwa kuzaa ujuwe hata kama umeolewa basi huyo mtoto/watoto unaweza kuwamudu bila kutegemea msaada wa mwanamme itapobidi.

Samahani sana, mimi nashkuru maisha yangu ya ujanani yalikuwa tofauti, niliolewa na kuishi na kuzaa katika maisha ya kujitegemea na si kutegemea mwanamme (nje ya Tanzania). Labda hii exposure imenifanya niwe na mitazamo tofauti.

faiza kuna wababa wanawakataa watoto wao ingawa wamezaliwa ndani ya ndoa. Hilo nalo utasemaje?

Mnapoteza muda FF ni dume, tena ustadhi dizaini ile ya kuwapa mimba binti wasomao madrasa!

Aiseee kwahiyo wewe unachunga sana, nambie unatumia vidoge au kalenda, au huko kwingine kusiko nasa mtoto?

ndio maana na wewe umetelekeza watoto pale mwembe chai kwa jirani ulipokua ukiishi!

Mnapoteza muda FF ni dume, tena ustadhi dizaini ile ya kuwapa mimba binti wasomao madrasa!

jinsia yake hainihusu hata kidogo. Cha muhimu kwangu ni alichokisema.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…