Napenda kuchukua nafasi hii kuwaonya wanaume wanaoleta mambo ya utani katika sehemu hii muhimu. Binafsi sijapenda kabisa na tabia yenu mnayoionyesha kwa wanawake/wadada. Kama hamna nia ya kutafuta wanawake mkae kimya, sio kuleta utani jamani. Pili kama umeonana na mwanamke then ukaona hana sifa just mwambie ukweli kuwa sijavutiwa na wewe kuliko kunyamaza kimya na kumfuatilia kumbe lengo lako ni kumla na kumwacha. sijapenda tabia hiyo. Sio kwamba imenitokea mimi lakini nimechunguza asilimia kubwa ya wanaume hapo jf hawako serious just joking.