Wanaume suruali!

Dr Lizzy

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
31,009
Reaction score
60,629
Sijawahi kuwachukia wanaume wote kama kundi...ila kuna baadhi wenye tabia za ajabu ajabu nawachukia sana.Hawa ni wale wenye maneno mengi....ya ukweli au ya uongo...mwanaume akishaanza kutumia maneno kupata attention tayari anafaa avalishwe sketi.

Nimejikuta nashangazwa na watu wawilii wa aina hiyo kwa mpigo....nikajikuta najiuliza inakuaje mpaka mtu anaanza kwenda kusambaza maneno ya fulani niko nae...fulani nimetembea nae...fulani namjua sana kafanya hili na lile wakati sio hua
inasabishwa na nini zaidi ya utoto...ushamba na ujinga:???Yani nimeboreka!!

Nwyz kama kuna wa aina hiyo humu embu nifungueni macho alafu muache hiyo tabia!
 
Lizzy hili ndio jibu
 
Hiyo title imenifanya nifungue haraka hii thread.

Wanaume wenye tabia hizi kazi kwenu mtuambie kwanini mko hivi??
 
Na wengine wanapenda sifa ile aonekana kwamba yeye ndio kidume
tena ukute amepita mdada mzuri akasifiwa utamsikia huyo hana kitu nilishapita hapo
kumbe alitongoza akatolewa nje. upuuzi mtupu
 
Lizzy pole
yamekukuta ila nakuaminia una mabusara mengi ya kuhandle conflicting matters.

umegenerize kwa kuomba ruhusa hongera, now hawo jamaa wamesoma fani gani nipate raha mie.
 
Ngoja nikafanye fast utafiti kwanza, ntakuja na jibu.., tukutane hapa baadaye🙁
 
Yaani wa dizani hiyo wapo sana unakuta mtu anakuchambua vilivyo na ukute hata jina lake hulijui kazi kweli.

Acheni hizo tabia sio nzuri.
 
hasira zina punguza siku humu duniani pole sana by the way .
Ushauri
kama ni watu wako wakaribu wakemee kabisa haka katabia sio kazuri kabisa vinginevyo kuna hatari mbele yake .this is infinite solution waambie ukweli unakerwa nao.
 
Na nyie mpunguze kuwa wanawake masketi:A S-key::help:
 
Na wengine wanapenda sifa ile aonekana kwamba yeye ndio kidume
tena ukute amepita mdada mzuri akasifiwa utamsikia huyo hana kitu nilishapita hapo
kumbe alitongoza akatolewa nje. upuuzi mtupu

Hapo
You have said it all..
cha kuongeza sina
Asante..
 
Na wengine wanapenda sifa ile aonekana kwamba yeye ndio kidume
tena ukute amepita mdada mzuri akasifiwa utamsikia huyo hana kitu nilishapita hapo
kumbe alitongoza akatolewa nje. upuuzi mtupu
Ahaaa ahaaaa aisee umenikumbusha shule kuna jamaa tulikuwa tunasoma nae alikuwa na tabia hizi
 




Lizzy, sijui wakikutana hawa watu wawili itakuwaje?

mwanaume suruali, mwanamke sketi!!lol....
 
Lizzy,

Hivi wewe umefahamu vipi au una uhakika gani kwamba Mr.X and Mr. Y ndiyo wansambaza haya maneno:-

"..fulani niko nae.."
".. fulani nimetembea nae.."
"..fulani namjua sana kafanya hili na lile.."??????

Kwa taarifa yako tu.. Kama umeambiwa na Mwanaume mwingine (Mr. Z) ku Mr. X or Mr Y anakusema hivi na hivi, fahamu fika kuwa huyo Mr. Z anatumia hiyo kama "gear" ya kukutongoza au kama umeambiwa na Mwanamke (Ms A) fahamu fika kuwa anataka "kukuzibia riziki"!

It is very SAD kwamba Msichana anapokuwa kwenye urafiki wa "kawaida" na Mr.X or Y, Mr. Z na wengineo ambao walishawahi kukataliwa huwa wanajisikia vibaya to the extent ya kuanzisha propaganda kama hizo ulizoziandika, ili mradi tu waharibu regardless. Also kwa wanawake wengine ambao siyo "likeable" kama Ms A, huwa wanajisikia vibaya sana kuona Lizzy anakuwa na urafiki na wanaume regardless.

My Advice: Acha kusikiliza UMBEA wa mtaani, kwa maana hata Papa Paul II aliwahi kusema kuwa "Stupidity is also a gift of God, but one mustn't misuse it"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…