Wanaume suruali!


Kumbe ulisikia kwa watu ayaaaaa mm nilikuwa nafikiri ulimfuma jamaa anapiga story.
Sasa hapo yawezekana unampakazia jamaa tu kwa maneno ya kusikia kwa watu.
 
Kwa kweli hata mi SIWAPENDI wanaume wa aina hii. Mara nyingi aina hii ya wanaume huwa hawajiamini kwahiyo wanatumia vimaneno kujifariji ili waonekane wao ndo wao mbele ya jamii..na watu wa aina hii ipo siku wanakuja kuumbuka..halafu hawajaumbwa kwa sura za haya hata kidogoo wanaboa mnooo.yamewahi kunikuta na mie ndo mana nina hasira nao..aarrrggghh
 

Though that did not happen in this case....haina maana ikiwa hivyo ndo mtu akapige domo mtaani!
 
Teh teh teh utasikia huyo bwawa huyo akivua tu kufuri chumba kizima mbu na buibui wanakimbia hahahaha

hahahahahahaha inau kweli ndani yake

sasa inakuwaje pale unadhalilisha na sio ukweli
 
dah! JF bana! yaani mnaishi uswahilini halaf mnataka mkutane na wanaume faifu star? solution ya hii sredi ni fupi sana. "ondokeni uswahilini"
sredi klosed

Muone...sura kama uswahilini!!!
UngaLTD hamna uswahilini wewe!!Alafu hao faifu star ndo wapigaji domo wazuri maana wanadhani wanaweza kumpata mwanamke yeyote...basi ukimkatalia tu inabidi ajisifie uongo ili aonekane kwamba kweli anaweza.
 
Lizzy yashanifika haya sina hamu ,huwa najiuliza sijui wengine domo huwa zito matokeo yake wanaanza kupakaza mbovu..
Ila tabia hii ni mbaya sana
 

Kama sio kweli kuna uzuri gani???
Na kama umemkataa that means hajafikia kiwango....alafu akatangaze mtaani amefikia?:bored:
 
Lizzy yashanifika haya sina hamu ,huwa najiuliza sijui wengine domo huwa zito matokeo yake wanaanza kupakaza mbovu..
Ila tabia hii ni mbaya sana

Hata wewe??? Hawaogopa eh!!!:ban:
 
kumbe hili li sredi anapigwa dongo mtu?, dah! mchizi kachemsha! kama member wa JF acha nikamsubirie jukwaa la introduction, atakuja na ID mpya muda si mrefu.

Alafu we nna hasira na wewe!!!
 
Kama sio kweli kuna uzuri gani???
Na kama umemkataa that means hajafikia kiwango....alafu akatangaze mtaani amefikia?:bored:

Dah kwa mtindo huu angalia na wewe usije ukaitwa mwanamke mama huruma kila mwenye kiwango utakuwa unampa kama njugu mmh
 
Lakini Lizzy usimlaumu huyo mshkaji kabla hujamuuliza labda alioteshwa ana kumega sio kosa lake.

Mhhhh.....kwahiyo bado hajaamka kwenye hiyo ndoto ehhhh?
 
Muone...sura kama uswahilini!!!
UngaLTD hamna uswahilini wewe!!Alafu hao faifu star ndo wapigaji domo wazuri maana wanadhani wanaweza kumpata mwanamke yeyote...basi ukimkatalia tu inabidi ajisifie uongo ili aonekane kwamba kweli anaweza.
khaaaa! leo inaonekana watakoma walompakazia Lizzy. yaani post zinadondoka kama mipasho ya talabu?
 
UMBEYA, UDAKU, UONGO, UNDUMILAKUWILI; KIDOMODOMO ni tabia mbaya kwa yeyote, iwe mwanamme au mwanamke, lakini inakuwa mbaya zaidi iwapo mwanamume anafanya umbeya -au vyovyote uuitavyo- iwe kwa wanawake au kwa wanaume wenzake. Hili haliwapi kibali wanawake kufanya umbeya. Ni tabia chafu. Mbali ya ujinga na ushamba, kuna dalili za Utoto na Wivu. La mwanzo linakubalika ikiwa wanaofanya hivyo ni watoto, lakini la pili ni "too, even four much".
 
Heheheh....we acha tu mpendwa!!
Alafu wakati naanza kuandika hii post akaja nilipo na kuanza kuniambia hajasema chochote maana nilishamuuliza.
mmmh hapana hapa kuja jambo,
Lizzy unasema kweli au leo una hamu ya kukashifu wakaka ukaona uzunguke mmbuyu kwa staili hii ili urushe ngumi na mateke bila vikwazo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…