wanaume tu ndo wasome hapa........

wanaume tu ndo wasome hapa........

Umetoka wapi sa ivi mkuu, kwa hiyo tuzihudumie familia zetu vizuri kwa sababu tunatoa sadaka!!? Ahsante
 
kama we nin mwanaume na umeoa na mungu kakujaaalia watoto au hata kama bado basi fahamu kuwa unapoipatia familia yako mahitaji ya muhimu...au chochote unachofanya kwa ajili ya familia yako basi fahamu kuwa kufanya hivo unakuwa unatoa sadaka na tegemea malipo kutoka kwa muumba wako...kwa wale wasiopenda kuihudumia familia mnakosa mengi ......ni hayo tu.

Ni kitabu gani kinasema hivyooooo? Quran au Bible????
 
kama we nin mwanaume na umeoa na mungu kakujaaalia watoto au hata kama bado basi fahamu kuwa unapoipatia familia yako mahitaji ya muhimu...au chochote unachofanya kwa ajili ya familia yako basi fahamu kuwa kufanya hivo unakuwa unatoa sadaka na tegemea malipo kutoka kwa muumba wako...kwa wale wasiopenda kuihudumia familia mnakosa mengi ......ni hayo tu.

Ni kweli unachosema, na cha msingi hapa si familia tu, ni kuwa mwema kwa kila mtu, utavuna kwa wakati wake!
 
kama we nin mwanaume na umeoa na mungu kakujaaalia watoto au hata kama bado basi fahamu kuwa unapoipatia familia yako mahitaji ya muhimu...au chochote unachofanya kwa ajili ya familia yako basi fahamu kuwa kufanya hivo unakuwa unatoa sadaka na tegemea malipo kutoka kwa muumba wako...kwa wale wasiopenda kuihudumia familia mnakosa mengi ......ni hayo tu.

akili yako umeikonfaini pembeni mwa ukuta wa chumba chako....aliyekwambia wanaume ndio wanaohudumia familia nani hasa familia halali za nyumba kubwa? kama ni sadaka basi wanawake wanaongoza kuitoa wao pengine hiyo sadaka wanaitoa kwa nyumba ndogo na kulea watoto wa wanaume wenzao ilhali watoto wao wanasota na mama zao

liwalo na liwe
 
duh kama mfumo dume fulani hivi...Sasa hapo mbona na mwanamke inamuhusu kwa asilimia zote kabisa?
 
Itakua vizuri na mwenzio ukamshirikisha hiyo sadaka ili ipate kibali machoni pa Bwana. Mkeo ni sehemu ya wewe hivyo ingependeza zaidi kama ungesema WANANDOA mnaozihudumia familia zenu kwa uhakika ni sadaka njema na mtavuna mema kwa BWANA
 
He sasa ndio iwe kwa wanaume tu????.....kwani wanawake hawatakiwi kuzihudumia familia zao?......afu kwa taarifa yako kwenye hii dunia tenda wema kwa kila mtu kwa kadiri ya uwezo wako na malipo yake utayapata......huduma sio kwa familia tu bali kwa yeyote anae ihitaji na wewe unao uwezo huo basi fanya na Mungu atakulipa siku isiyokuwa na jina! .... tenda yale yanayompendeza Mungu afu sahau!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
akili yako umeikonfaini pembeni mwa ukuta wa chumba chako....aliyekwambia wanaume ndio wanaohudumia familia nani hasa familia halali za nyumba kubwa? kama ni sadaka basi wanawake wanaongoza kuitoa wao pengine hiyo sadaka wanaitoa kwa nyumba ndogo na kulea watoto wa wanaume wenzao ilhali watoto wao wanasota na mama zao

liwalo na liwe

pole kwa yaliyokukuta...hayo matatizo ya kupenda images.....
 
He sasa ndio iwe kwa wanaume tu????.....kwani wanawake hawatakiwi kuzihudumia familia zao?......afu kwa taarifa yako kwenye hii dunia tenda wema kwa kila mtu kwa kadiri ya uwezo wako na malipo yake utayapata......huduma sio kwa familia tu bali kwa yeyote anae ihitaji na wewe unao uwezo huo basi fanya na Mungu atakulipa siku isiyokuwa na jina! .... tenda yale yanayompendeza Mungu afu sahau!

hata wanawake watalipwa kwa kuwatii waume zao....
 
duh kama mfumo dume fulani hivi...Sasa hapo mbona na mwanamke inamuhusu kwa asilimia zote kabisa?

mwanaume ndo ana jukumu la kumpatia mkewe chakula malazi na mavazi mkewe.....ndo maana wanasema kumtunza mume ni kazi ila kumtunza mke ni kazi zaidi.....
 
Fafanua zaidi!

kumtii mumeo ni kupana zaidi ya tunavojua sweetlady...mfano inaweza kuhusisha kumuheshimu, kufaham mumeo ni kipi umfanyie na kwa wskati upi?? Kulinda na kutunza mali zake na heshima yake() '...na mengine kama hayo
 
Sijaridhika na maelezo yako ila vile nimechoka afu nna usingizi wacha nikubaliane na wewe!
 
Na wale wacameroon sasa tuwaweke kwenye kundi gani la familia???
 
Back
Top Bottom