kama we nin mwanaume na umeoa na mungu kakujaaalia watoto au hata kama bado basi fahamu kuwa unapoipatia familia yako mahitaji ya muhimu...au chochote unachofanya kwa ajili ya familia yako basi fahamu kuwa kufanya hivo unakuwa unatoa sadaka na tegemea malipo kutoka kwa muumba wako...kwa wale wasiopenda kuihudumia familia mnakosa mengi ......ni hayo tu.

akili yako umeikonfaini pembeni mwa ukuta wa chumba chako....aliyekwambia wanaume ndio wanaohudumia familia nani hasa familia halali za nyumba kubwa? kama ni sadaka basi wanawake wanaongoza kuitoa wao pengine hiyo sadaka wanaitoa kwa nyumba ndogo na kulea watoto wa wanaume wenzao ilhali watoto wao wanasota na mama zao
liwalo na liwe
He sasa ndio iwe kwa wanaume tu????.....kwani wanawake hawatakiwi kuzihudumia familia zao?......afu kwa taarifa yako kwenye hii dunia tenda wema kwa kila mtu kwa kadiri ya uwezo wako na malipo yake utayapata......huduma sio kwa familia tu bali kwa yeyote anae ihitaji na wewe unao uwezo huo basi fanya na Mungu atakulipa siku isiyokuwa na jina! .... tenda yale yanayompendeza Mungu afu sahau!
hata wanawake watalipwa kwa kuwatii waume zao....
duh kama mfumo dume fulani hivi...Sasa hapo mbona na mwanamke inamuhusu kwa asilimia zote kabisa?
Mkuu hivi viroba jogoo vitakufanya mwehu muda si mrefu!
Pole kwa maswahibu yaliyokukuta ni upepo utapita tu
Fafanua zaidi!
kumtii mumeo ni kupana zaidi ya tunavojua sweetlady...mfano inaweza kuhusisha kumuheshimu, kufaham mumeo ni kipi umfanyie na kwa wskati upi?? Kulinda na kutunza mali zake na heshima yake() '...na mengine kama hayo