kama we nin mwanaume na umeoa na mungu kakujaaalia watoto au hata kama bado basi fahamu kuwa unapoipatia familia yako mahitaji ya muhimu...au chochote unachofanya kwa ajili ya familia yako basi fahamu kuwa kufanya hivo unakuwa unatoa sadaka na tegemea malipo kutoka kwa muumba wako...kwa wale wasiopenda kuihudumia familia mnakosa mengi ......ni hayo tu.
He sasa ndio iwe kwa wanaume tu????.....kwani wanawake hawatakiwi kuzihudumia familia zao?......afu kwa taarifa yako kwenye hii dunia tenda wema kwa kila mtu kwa kadiri ya uwezo wako na malipo yake utayapata......huduma sio kwa familia tu bali kwa yeyote anae ihitaji na wewe unao uwezo huo basi fanya na Mungu atakulipa siku isiyokuwa na jina! .... tenda yale yanayompendeza Mungu afu sahau!
mwanaume ndo ana jukumu la kumpatia mkewe chakula malazi na mavazi mkewe.....ndo maana wanasema kumtunza mume ni kazi ila kumtunza mke ni kazi zaidi.....
hakuna lililowahi kunikuta katika hayo mie nilichagua jina jema la YESU KRISTO so kanipa mume mwema sana wala sina matatizo hayo...ila nasema kama mwana sayansi ya jamii niki refer research zilizofanyika kama uko interested nitakutumia publications hizo. Na sio wote wame penda image hata wakutwe na hayo usiagyu kisokoni.....uko kwenye jukwaa la great thinkers tumia akili yako vema kufikiri kabla ya kuandika..... wewe huenda huna image na familia hutunzi vile vile?pole kwa yaliyokukuta...hayo matatizo ya kupenda images.....
He sasa ndio iwe kwa wanaume tu????.....kwani wanawake hawatakiwi kuzihudumia familia zao?......afu kwa taarifa yako kwenye hii dunia tenda wema kwa kila mtu kwa kadiri ya uwezo wako na malipo yake utayapata......huduma sio kwa familia tu bali kwa yeyote anae ihitaji na wewe unao uwezo huo basi fanya na Mungu atakulipa siku isiyokuwa na jina! .... tenda yale yanayompendeza Mungu afu sahau!
Weeee soma tena huo uzi, haujaelewa alichomaanisha.Umetoka wapi sa ivi mkuu, kwa hiyo tuzihudumie familia zetu vizuri kwa sababu tunatoa sadaka!!? Ahsante
Jamani huyu mwenzetu kasema wanaume tu ndo wasome hapa!sasa nyie mnasoma kwn n wanaume??!!