Ni sahihi kabisa mkuu. lakini umewa-exclude wanawake kwani hata wao nao siku hizi wanahitajika kuhudumia familia zao kwa kuwa kuna wanawake ni cashmoney balaa na wanapata pesa za kufa mtu, mishahara minono, so wanapaswa kuhudumia familia zao mkuu. Ni hayo tu nndugu (familia bora na yenye upendo umoja maelewano na mshikamanohujengwa na baba na mama thabiti na umpendeza bwana Mungu wetu))