What if ni Non-removable battery?Demu akiingia tu geto au wee ukienda kwake toa betri kwenye simu yake ya Tach ( smartphone ) yasikukute makubwa
What if ni Non-removable battery?
Switch offWhat if ni Non-removable battery?
Na je kama hatakiSwitch off
Poa sana manMkuu, [HASHTAG]#Joseverest[/HASHTAG],
Mkuu, leo umewaza hakika kama GT / ST.
Pokea kabisa like .
Kwani na sisi tutaingiaje geto na kademu kama kawewe ili iweje sasa.....? au kuangalia mpira. Sisi tunaingia gheto na watoto mashalaah wenye sura zao na vyura vyao.[emoji23][emoji23][emoji23]asa mrekodiwe nyie mna nini...tunarekodi watu wenye wazfa tu kama chibu