Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Yaani inashangaza, kuhuzunisha, kustaajabisha na kuchekesha.
Ukiingia kwenye jukwaa hili kila siku wanaume wanalalamika juu ya wanawake wao, je ni sisi tu tunaotendwa?
Au hizi habari si za kweli ila zinaletwa kuchangamsha jamvi?
Au wanawake wana vifua vyenye uwezo wa kuhimili machungu na kutunza siri zaidi ya sisi wanaume?
Wanawake tuna vifua vya kuweza kutunza siri pia tunaweza kuvumilia
Huwajui wanawake wewe. hapa wanaona noma coz kuna sisi wenye 'mguu wa tatu', vizia wakiwa wenyewe kwa wenyewe ndo utajua stori gani huwa wanazipiga/kuanzia zile za matatizo yao ya ndani mpaka 'live' events za 6x6.
Kuna siku ilibidi nikohoe ili wajue kuwa ndani kuna mtu ili waache hizo stori zao maana walikuwa wanavuka mipaka na marital privacy zao.............acha kabisa wewe kamanda!