Wanaume tubadilike kwa hili

Evvy jr

Senior Member
Joined
Apr 23, 2017
Posts
148
Reaction score
189
Kuna kitu kinanikera sana, unakuta kijana kaja kwenye jukwaa hili kwa nia nzuri kabisa ya kutafuta mke, mchumba au rafiki wa kike lakin comments za matusi atakazopata toka kwa wanaume wenzie mpaka anakata tamaa. Lkn mwanaume huyohuyo aliyetukana mwanaume mwenzie akiona kuna dada kapost anatafuta mume atacomment kwa maneno mazuri kweli ya kumfariji. Hebu kama huwez kucomment tuliza dole gumba lako!!
 
Sasa unataka tuwape maneno mazuri wanaume wenzetu..?? Ili iweje..!?? acha hzo ww
 
Yan ww unataka maneno mazur wanayopewa dada zako, na ww upewe..?? Uko serious kweli..??
 
Yan ww unataka maneno mazur wanayopewa dada zako, na ww upewe..?? Uko serious kweli..??
Elewa nachozungumzia kabla hujacomment! Sijasema umpe maneno mazuri huo ni uamzi wako, mm nachozungumzia ni kutoa lugha ya matusi
 
Mwanaharamu wewe unaetaka maneno mazuri kutoka kwa wanaume wenzako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…