Tupo tunadundaMkulu alisema hivy
Mkuu Jose, Mjini Nchini Tanzania iko moja tu..!!Mjini wapi??
Pana kaukwelUnaweza ukawa mjini ila unaishi maisha ya ajabu kuliko wale wa vijijini.
Inawezekana tupo mjini lakini tumerudi kijijini. Tujitathmini.
anhaa sawa mkuu haina shidaHapana mkuu...walioko jijini
Anhaaa nimekupata mkuuMkuu Jose, Mjini Nchini Tanzania iko moja tu..!!
Kila mwananchi na Mwanasiasa ana ndoto ya kuishi.
Shauri yako....UTAKUFA NA JEMBE MKONONI...!View attachment 533650View attachment 533651View attachment 533653Endeleeni na Mjini yenu Aisee! Wacha sie Tulime huku.