Wanaume tuliooa tujipeni pole wenyewe

Wanaume tuliooa tujipeni pole wenyewe

yuzazifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
5,108
Reaction score
9,436
Natumai hamjambo wakuu.

Miezi kadhaa nyuma nilipeleka kiatu kwa fundi ili aniundie cha aina ile coz nakipenda sana, pale ofisini alikuepo mrembo ambae ni mke wa fundi.

Baada ya maelewano fundi alinipa mawasiliano nimpigie after 3 days ajil yakuchukua kama kitakua tayari, after 3 day nikapga simu akapokea ke nikajitambulisha akanambia fundi kasahau simu nyumbani hivo nimpigie jioni.

Baada yakunambia vile nilimsifu kwa uzuri na saut yake then nikaomba namba, akanipa bt kanambia nisimtfute hadi anaponitafuta yeye.

Nilimtongoza akakubali, akanambia kumeet lodge haiwezekani coz anaweza kutana na wanaomjua, akasema atampanga mumewe kuwa anasafari fulan then mi niandae mazingira yakua nae kwa mda wote wa safari.

Alifanya vile then akanijuza kua tayari, niliwaz kumbe haya ndo hutufanyia wake zetu? anakwambia safari na nauli unampa kumbe anaenda kuliwa? nilichukua uamuzi wa kumpotezea japo alinichukia sana na kunitamkia maneno makali.

Wakuu huu ndo uhalisia wa wanayotufanyia wake zetu japo wengi wetu hatujui.
 
Aisee nimecheka. Lakini pia hizi ndio situations zinazo leta stress zaidi kwenye ndoa nahisi

Hapo wewe mwenyewe umesha mdanganya mke wako mara ngapi tu kumpigia simu na mengineyo huyo mwanamke?
 
Aisee nimecheka. Lakini pia hizi ndio situations zinazo leta stress zaidi kwenye ndoa nahisi

Hapo wewe mwenyewe umesha mdanganya mke wako mara ngapi tu kumpigia simu na mengineyo huyo mwanamke?
mkuu ukweli yule dada anafaa kwa matumizi yakumla bt nilipokumbuka pia ninamke na anaweza fanya the same nilivunjika moyo hata nikaamua kumpotezea.
 
Inauma sana hawa wanawake, bora wanaume ucheat kuliko mwanamke kukucheat[emoji16] maana akicheat unaenda kununua gunia la mkaaa chapu
 
Kale ka msemo Mwosha Huoshwa mkuu inawezekana ungemuosha mke wa fundi ungejiona mjanja alafu fundi akaja kumuosha wa kwako kama angejua umepita na mke wake ili akuonyeshe kwamba usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwingine NB; Kama kweli ulimpotezea mke wa fundi umetisha sanaaaa na umejifunza kitu.
 
mwanamke ukimcheat akajua ataumia bt sio kama maumiv apatayo mwanaume, kwanza unabaki unaza kanidharau au simridhishi, hakika wanaume huteswa sana na hali hii
Ndo ujue jinsi anavyoumia mwanaume na mwanamke anaumia vilevile tofauti ni kuwa sisi tumeumbiwa uvumilivu hivyo tunaamua kuvumilia...
 
Ndo ujue jinsi anavyoumia mwanaume na mwanamke anaumia vilevile tofauti ni kuwa sisi tumeumbiwa uvumilivu hivyo tunaamua kuvumilia...
basi jitaidini sana kuwa na misimamo mikali muwapo kwenye ndoa, maana wanaume pamoja na madhaifu yao huchakalika kutafuta riziki ajil yenu sasa mkiliwa nje tunaumia mara mbili.
 
Kale ka msemo Mwosha Huoshwa mkuu inawezekana ungemuosha mke wa fundi ungejiona mjanja alafu fundi akaja kumuosha wa kwako kama angejua umepita na mke wake ili akuonyeshe kwamba usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwingine NB; Kama kweli ulimpotezea mke wa fundi umetisha sanaaaa na umejifunza kitu.
mkuu wamitaani tuwale tu bt wake za watu tuwaheshimu sana coz hakuna anaependa kuchapiwa mkewe.
 
Back
Top Bottom