Wanaume tuliooa tujipeni pole wenyewe

Wapo ila ni kweli bila Mungu huwezi wapata wala kuwaona
 
Wapo ila ni kweli bila Mungu huwezi wapata wala kuwaona
 
Usiwahusishe wanawake wote. Umalaya, udangaji na upendaji vitoto hizi ni tabia za mtu hazibadilishwi kwa ndoa wala nn zinabadilika mwenyewe atakapo hamua mwenyewe kuacha.
Kama ulioa mwenye hizo tabia usitegemee atabadilika kwasababu yupo kwenye ndoa
 
Wanawake tuna huruma sana, kwahiyo nawe umeoa[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Poleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…