Wanaume tuliowahi kula mtungo na wanawake mliowahi liwa mtungo tupeane uzoefu

Wewe balaaaaaaah.... Nadhani sasa umeacha hiyo michezo. Uache aiseeeee.
 
unajua mawakili wanashindaga kesi kwa ponti ndogondogo kama izi yani sikiza story kisha tafakari kila neno ukweli utaupata tu
Watoto wa siku hizi ni vilaza sana kichwani hawana kitu kabisa.
 
Ila Saba ni nyingi sana
 
kulikuwa na Motorola kubwa sana ziliitwa Mshindi(sabuni flani ya mche).
Nmetumia hizi tena ndio simu langu la kwanza kulitumia way back miaka ya 90 hapo Siemens hazijaingia lilikua lina konga hivi, hadi leo ipo tu ndani haitumiki tena imebaki km kumbukumbu tu, baada ya hapo 2000 nikapata Siemens fulani hivi km kipande cha sabuni kina konga kipindi hicho ndio line zikaanza kutumika na ndio simu zilikua zinapendwa sana na watu wengi

Lile limotorola lilikua linanipa shida kwenye kusoma meseji aisee nilipata tabu kingine kuongea na simu ilikua mtiti ukikaa sehemu kaa hapo hapo usihamehame ovyo ukihama tu umepoteza mawasiliano na unapoongea inabidi uibananishe kwenye sikio ili usikie maana ukiweka kwa mbali husikii kitu chochote kwa hio inabidi ugandamize sikioni ili umsikie anaeongea nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…