Wanaume tuliowahi kula mtungo na wanawake mliowahi liwa mtungo tupeane uzoefu

Chai..kwanini Chai..simu late 1990s?! yap zilikuwepo ila kwa wachache sana..
 
Miaka ya 90 wote mna simu. Hivi Castle Lite nazo zilikuwepo kweli hiyo miaka? Kumbe na tigo imeanza kitambo sana Bongo.
TiGo imeanza mwishoni mwa mwaka 1994 then wakaja Tritel mwaka 96, tiGo ilikua inaitwa MOBITELE then mwaka 2000 ndio ikaja Celtel na Vodacom and tiGo walibadiri jina na kua buzz; hapa sasa mfumo wa message kupitia simu ndio ukaanza, before hakukuaga na message kwa mobile phones, nina hakika mdau kachanganya miaka. Tritel walikuja nunuliwa na Celtel (Sasa Airtel ) kama ambavyo Zantel ilivo nunuliwa na tiGo recently
 
MOBITEL
 
Asante kwa masahihisho; again those years wamiliki wa mobile phones walikua ni watu wenye pesa zao na wenye shughuli za maana hasa; sidhani kama kulikua na mwanafunzi or mwana chuo aliyekua ana miliki simu za mkononi; kidogo kwenye majumba ya watu kulikuaga na simu za mezani za TTCL na zenyewe ili upate kulikua na full urasimu. Gharama ya ku miliki mobile phone was very high; kwa siku ilikua inakula dola 1, whether umepiga or not; kuuliza salio inakata pesa kama ilivo leo ukitaka kujua tigo pesa, mpesa or airtel money una kiasi gani, inakata; same as those years. Kwa wanafunzi/mwana chuo kuna SIMU..., sidhani
 
Chai..kwanini Chai..simu late 1990s?! yap zilikuwepo ila kwa wachache sana..
Umewahi liwa mtungo wewe.usibishe.nakuambia usibishe kabisa.shukuru hukuambukizwa magonjwa
 
Mwaka jana tu me na rafiki angu tuliachiwa mjengo (Appartment ) bro , umefika usku mida ya saa 2 tukaingia club kula bata kidogo, me nakula bia, rafiki angu hatumii.

Baada ya bia kuchanganya kichwani , nikaanza kusaka dem kipotabo nikapata, muda wa kuondoka umewadia tukaindoka kulala jumla mtu tatu [emoji2], kufika rafiki angu akaingia room kwake nami nkaingia room kwangu nikiwa na hyo malaya nliyoichukua club.

Mechi ikaanza kupigwa pigwa pigwa, malaya miguno kama yote [emoji51], huyo rafiki angu chumba cha jirani akashindwa kuvumilia akaja kugonga mlango, kufungua anataka na yeye amkule yule malaya, nikamweleza malaya akakubali kuliwa na watu mbili, ilkua ni mapumziko akichoka huyu anaingia huyu chumbani kupiga show,

Sasa asubuhi kumekucha dem anataka kuondoka si tunampatia elf kumi (10,000/=) [emoji38]kidogo atujazie watu ule mtaa , dem anataka kila mtu atoe 30.k jumla iwe 60.k , mbona kasheshe rafiki angu machozi yakaanza kumlenga hana pesa mfukoni, dem anataka apige mayowe kuwa tulimteka tukambaka, duuh

Tulikua tumebaki na 60.k ya kula week nzima si ikabidi tumlipe malaya chake aondoke asije kutujazia nzima pale mtaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Hahaha
 

Miaka ya 90’s ina maana sasa wewe ni mtu Mzima sana, kuanzisha huu uzi ina maana wewe Bado ni Mzee wa hovyo!
 
Nimepata akili nimekuta tigo inaitwa mobile au mobitel sikumbuki vizuri. Kipindi hicho ilikuwepo iyo na zile simu za mezani tu sikumbuki vizuri zilikua zinaitwaje something like ttcl kama sokosei ila ukiwa nayo unakua na kitabu kikubwa hivi kinaitwa yellow page humo kuna anwani za watu na makampuni kibao. Kipindi hicho ndo naanza primary school bi mkubwa alikua kigogo wa TPDC life was very beautful
 
Miaka hio ya 90 Kama vijana wenye akili chafu mlikuwepo Sasa kwanini mnalalamika vijana wa 2000 hawana adabu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…