Wanaume tuliowahi kula mtungo na wanawake mliowahi liwa mtungo tupeane uzoefu

Hii chai. Tukirejea kwenye uhalisia siwezi fanya kitu kama hicho,naweza kuua nikiwa na sababu ya msingi but upuuzi kama huu siwezi fanya. Hebu pata picha endapo Mungu anakupa nafasi ya kujitetea utasemaje? Kama niliweza kwenda lodge na demu nikamuacha kwa hiari sembuse kuepuka kikombe hiki
 

Sio sifa mkuu ila jua tu demu akiukwaa anauwa wote
 
Mkuu na ww umeenda lini kwa madiba
 
Castle Light sio [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wajuzi mtupe dondoo kidogo ili tujiepushe na mazingira ya kupewa chai yenye tangawizi....Hivi Castle lite zilikuwepo miaka ya 1990s????. Otherwise na uzi mzuri.
 
Noma[emoji119]
 
Simu za mkononi nafikiri zimeanza kuingia mwaka 97 hapo. Mobitel hizo,(ilikuwa tigo hiyo nafikiri). Mimi mwaka 2000 ndio nimeanza kutumia simu SONY ELICKSON ya kufunua. Ikaja NOKIA jeneza,SEAMENS ya kidole,NOKIA ndogo n.k,n.k
 
Chizi Maarifa

Ila wewe ni muongo sana. Hii ni stori ya kutunga. Hiyo late 90's mambo ya simu za mkononi hayakuwa kihivyo sana na pia hata hicho kinywaji? Labda Castle Lager.
Kwanza vijana wa miaka hiyo especially wasomi hawakua wajinga wa thamani hiyo. Trust me yoh!.
 
Reactions: Cyb
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…