Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 402
Wengine huwa hawatoi hata neno badala yake utaona anakuangalia kwa jicho na tabasamu la kufa mtu. Sanasana atakulaumu kwa nini unamchelewesha kuanza safari. Hawa viumbe wa ajabu sana. Utadhani siyo yule aliyekuwa anakupiga kalenda.
Tukisusa hiyo kazi mambo yote hayatakwenda. Wakikosa hiyo kitu wanafura kutwa nzima. Kama ni mwalimu, watoto shuleni watamkoma. Kama ni secretary au receptionist basi siku wageni wa ofisi watamkoma. Ni hasira tupu. Kwa hiyo, ili kuepusha yote hayo ni bora kuwapatia tu hata kama ni fundo moja tu linatosha.Kama analaumu usimpe tena hajui kama unafanya kazi ile inayokufanya uitwe mwanamme alaaaaaaa! mwambie utasusa....
Ni kweli kabisa kamanda, mwingine utakuta anakuchimba bonge la mkwara eti bila hiyo 'hakiliki' kitu, lakini akisha 'andaliwa' kwa dk kama 20 hivi, anageuka kuwa zuzu na ukimuulizia kutumia hiyo 'kitu' sometime huwa hata hajitambui kama kuna kitu inaitwa ndomu. Na ndiyo maana Mkapa alishawahi kusema kwamba kwisha kwa ukimwi ni mpaka pale wanaume watakapoamua, vinginevyo ni kazi kweli kweli!
Wengine huwa hawatoi hata neno badala yake utaona anakuangalia kwa jicho na tabasamu la kufa mtu. Sanasana atakulaumu kwa nini unamchelewesha kuanza safari. Hawa viumbe wa ajabu sana. Utadhani siyo yule aliyekuwa anakupiga kalenda.
Duu, hii nimeipenda.Ujue mtu akishafanyiwa maandalizi akili zinakuwa zimeruka na kichwa hakifanyi kazi sana sana cha chini ndo kinauliza haja yake itimizwe mapema
Asante sana kwa kutukumbusha!!!!Tafadhali akina dada mniwie radhi lakini jambo hili nimekutana nalo mara kadhaa na hata marafiki zangu wamenithibitishia kwamba ni kweli. Kwa ujumla, wanawake wakiwa 'wamekolea' huwa hawajitambui kiasi kwamba ukimuuliza uvae ile kinga au usitumie utasikia ama anaguna na hafanyi chochote au mwingine atakwambia kwa sauti ya chini kwamba uamuzi ni wako. Kinachobaki hapo ni busara na hekima ya mwanaume. Najua baadhi ya akina dada watanishambulia hapa lakini nimeweka thread hii kwa lengo la kuwakumbusha wanaume wautumie uhuru huo vizuri ili kulinda wenzi wao. Inawezekana hayo ndiyo maumbile yetu ya asili.
Ujue mtu akishafanyiwa maandalizi akili zinakuwa zimeruka na kichwa hakifanyi kazi sana sana cha chini ndo kinauliza haja yake itimizwe mapema