mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Baniani mbaya kiatu chake dawa.
Si kila mwovu hakyna cha kujifunza kwake la hasha.
Hii tabia ya matajiri kuandika mali zao majina ya mama zao au watoto inasambaa sana na ni kitu wanaume tukifanyie kazi haraka kuepusha ndoa za wanawake matapeli
Nje ya mada enzi zile late 1980s nikiwa mnazi mmoja primary schoolna Haji Manara na Kitenge,kuna mwamba mmoja akiitwa Maumba, akiwapaka nafuta sana mabinti wa shule ya msingi Mnazi Mmoja, Lumumba na Mtendeni.
Ilikuwa ni orodha ndefu sana.
Yule mwamba alimzidi hata P Diddy sema jamaa alikuwa fundi cherehani, hakuwa na mali ya kumfirisi kulipa fidia.
Enzi zile sheria ya miaka 30 au kifungo cha maisha kwa makosa ya ubakaji haikuwepo.
Nasikia jamaa alitoka jela na kumrudia mola wake akiendelea kushona nguo mitaa ya Magomeni,ameshazeeka