Wanaume tunaangalia future

Wanaume tunaangalia future

Onyix

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
682
Reaction score
793
Jamaa mmoja alienda kukata miti polini.. wakati anakata ghafla Panga lake likadondoka mtoni...akaanza kulalamika sana...
malaika akatokea na kumuuliza kwanini analia..
Jamaa akamjibu nimedondosha panga langu mtoni na ndiyo natumia kuendesha maisha yangu..
Malaika akazama mtoni akatoa panga la Dhahabu akamuuliza ndiyo hili??
Akajibu Hapana...
Malaika akazama tena akatoa panga la shaba, akamuuliza ndiyo hili??
Jamaa akajibu HAPANA.
malaika akazama tena akaibuka na panga la bati, akamuuliza ndiyo hili..
jamaa akajibu NDIYO..
Malaika akapenda uaminifu wake na kumpa mapanga yote matatu aende nayo..
JAMAA akafurahi sana..
**Siku nyingine Jamaa alikuwa anatembea na mke wake njiani, ghafla Mke wake akadondoka mtoni. jamaa akaanza kulia.....
Malaika akatokea tena na kumuuliza mbona unalia.
Jamaa akamjibu, mke wangu kadondoka mtoni..
Malaika akazama mtoni akaibuka na MASOGANGE.. Akamuuliza huyu ndiyo huyu.
Jamaa akajibu, NDIYO..
Malaika akakasirika na kumwambia Kwanini umenidanganya..
Jamaa akamjibu..nimesema ndiyo sababu najua ningesema HAPANA Ungezama ungemtoa AUNTI EZEKIEL ... ningesema HAPANA ungezama na kumtoa mke wangu alafu ningezema NDIYO ungenipa wote Watatu niondoke nao...... Sasa Masikini sina uwezo wa kuhudumia wote hao.... ndiyo maana nikasema ndiyo Kwa Masogange.

SOMO LA KUJIFUNZA..
Wanaume huwa hatusemi uongo bila sababu.... na inakuwa kwa sababu maalum na kwa faida ya wote....
wanaume wote ni WAAMINIFU........
Na ndiyo KAULI
MBIU YETU...[emoji38][emoji38][emoji8][emoji8][emoji8]
 
msg nzuri itupeleke wanaume mapumziko mazuri ya mwisho wa wiki kwa kuwa waaminifu sio mvua zimeanza ndo tumekuwa wa kuvua kila kichaka
 
hahaaaaa
aiseee huyo Jamaa angesema sio tu iliapewe wote ..sialipewa lile panga LA dhahabu ..angekwenda kuliuza kisha angepata Pesa kibao tu zitakazo weza kuwahudumia wote hao ...
 
mahali popote ulipo ewe mwanaume sema "ASANTE MUNGU KWA KUNIUMBA MWANAUME X 3"
 
hahaaaaa
aiseee huyo Jamaa angesema sio tu iliapewe wote ..sialipewa lile panga LA dhahabu ..angekwenda kuliuza kisha angepata Pesa kibao tu zitakazo weza kuwahudumia wote hao ...
hahahahaha we jamaa pambafu sana big up akili mingi sana

kweli aseee angeuza panga hilo
 
hahahahaha we jamaa pambafu sana big up akili mingi sana

kweli aseee angeuza panga hilo
hahaaa mimi sijamuelewa kabisa yaani
kwanini amekataa fursa ya wanawake wote wazuri wale wakati anamiliki thahabu nyumbani kwake ..
sasa cjui dhahabu anatka kuifnya pambo tu
 
Back
Top Bottom