NyaniMzee
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 396
- 727
Huwezi amini kuwa katika tafiti zilizofanywa inaonyesha 99% ya wanawake do fake orgasm. Katika pita pita yangu nimekutana na nukuu hii:"I'd really like to try to have an orgasm tonight.""What do you mean. Don't you always?""Hmmm...no.""You have been faking it!""Yeah, sometimes.""How many times have you faked it?""Uh....over twenty.""Twenty times!!?""No, over twenty years."source: http://www.associatedcontent.com/article/395600Sasa huu ni udhaifu wa wanaume kutowafikisha au umahiri wa kina mama kutokufika huko kwenye mlima wa chocolate. nawasilisha wakuu.