Wanaume tunadangaywa na kudanganyika

NyaniMzee

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Posts
396
Reaction score
727
Huwezi amini kuwa katika tafiti zilizofanywa inaonyesha 99% ya wanawake do fake orgasm. Katika pita pita yangu nimekutana na nukuu hii:"I'd really like to try to have an orgasm tonight.""What do you mean. Don't you always?""Hmmm...no.""You have been faking it!""Yeah, sometimes.""How many times have you faked it?""Uh....over twenty.""Twenty times!!?""No, over twenty years."source: http://www.associatedcontent.com/article/395600Sasa huu ni udhaifu wa wanaume kutowafikisha au umahiri wa kina mama kutokufika huko kwenye mlima wa chocolate. nawasilisha wakuu.
 
Wew ndo huwa unadanganywa, anaecheat utamjua tu, au mpaka tukuelekeze?mwanamke haparamiwi kama kuku, hisia zake ziko mbali na huitwa tartiiiibuuuuuuuuuu! Kaka unahitaji darsa, ama sivyo utaibiwa hivihiviiiiiiiii!
 
kama mnadanganywa unataka nini kwa sasa?
basi acha kufanya mapenzi ili usidanganywe.
 
Pengine wote au mmojawenu hajui real orgasm ni nini,na pengine mmojawenu anajua na hana ujasiri wa kufikisha ujumbe kwa mwenzie afanyiwe nini ili afike ktk real orgasm au kwenye huo mlima wa chocolate.
 
What is the purpose of faking orgasm/climaxing? Please ask yourself. The answer will propel you to conclude if women do fake orgasm/climax or not. A prostitute can fake climax to imprest you and get more money. What about your dearest, wife or GF? I am absolute sure that she will not do it. If she does, then, there is a very big problem which needs your attention! Please do not judge sisi wanawake vibaya! Naomba kuwatetea wanawake wote!
 

Labda kama ni mgeni wa mapenzi
Tena kwa wanawake wengi wa TZ utawagundua tu
Nilipelekesha mwanamke mpaka aka . . . . . acha tu
 
Labda kama ni mgeni wa mapenzi
Tena kwa wanawake wengi wa TZ utawagundua tu
Nilipelekesha mwanamke mpaka aka . . . . . acha tu

Akafanya nini?????Káma unatoa ushuhuda toa mzima mzima!!
Alafu inawezekana hata hicho alichofanya alisingizia ili ujione umemaliza kazi*!!
 
kuuula bila maganda af raaaamba king'amuzi uatona mwenyewe
 
huo ndo ukweli hata BBC wameshawahi kufanya utafiti wa mahojiano ambapo wanawake 120 walihoojiwa,104 kati yao walisema wamewahi kufika kilelen mara moja au mbili tu katika maisha ya mapenzi yao,10 wanafika kilelen wakikutana na wapenzi wapya,the rest hawana uhakika, na ndio maana katika topic ya wanume wanaaraka ya kusex kuna dada kacomment kwamba mpenz wake anamchezea mpaka hana haja na uko kileleni so unaconclude that the isseu of orgasm is sometimes fake
 
it myt be pocbo mwanamke kumdanganya mwanaume only if dat woman knows how to control dat man....and dic iz very true ingawa wanaume wengi hawataki kukubaliana nalo....i think it depends on a man himself kama anaweza kujua pale anapodanganywa kama hajui...imekula kwake...huyo mwanamke lazma atachakchua tuuuu....
 
Akafanya nini?????Káma unatoa ushuhuda toa mzima mzima!!
Alafu inawezekana hata hicho alichofanya alisingizia ili ujione umemaliza kazi*!!

Hapa kuna watoto wadogo, huwezi ukatoa ushuhuda wowote waziwaz, hasa wa kimahusiano
Hivi unaweza ukasingizia kitu ambacho kikakusumbua wiki nzima, tukakupeleka hadi hospital na ukadungwa sindano???
 
Usitudhalilishe wanaume. Sisi sio watu wa kudanganywa kibwege. Mwanaume anayedangwa bila kujua anadanganywa basi huyo ana matatizo kichwani
 
ahahahahahaaaaa....hivi ukimfanya mwenzio hadi ukamuumiza (kwa either kuwa na dudu kubwa kupita kiasi au kwa maandalizi mabovu hata asitokwe ute wa ukeni) kesho akapelekwa hospital inamaanisha kuwa "ulimfikisha kileleni?"....

naomba kujuzwa juu ya hili..la sivyo naamini kuwa wengi wa wanaume tunaamini katika hayo niliyo yasema..eti "demu alikuwa analia ile mbaya..mara nimemkojoza mara mbili amelia full kulalamikia Uboo etc.....

TUCHAMBUE KWA KINA TOFAUTI YA KUFIKA KILELENI KWA MWANAMKE NA KELELE PLUS MALALAMIKO YA MAUMIVU YA UTIAJI WETU WA KIMABAVU NA KI-MFUMO DUME... NI MAONI TUU
 
Inaonekana hujui majambo wewe na inaonyesha unaparamia mtu bila kumuandaa acha kutuabisha hapa
 
Hapa kuna watoto wadogo, huwezi ukatoa ushuhuda wowote waziwaz, hasa wa kimahusiano
Hivi unaweza ukasingizia kitu ambacho kikakusumbua wiki nzima, tukakupeleka hadi hospital na ukadungwa sindano???

Basi hii mada ihamishiwe kwa wakubwa ili utoe ushuhuda wako wote au unasemaje mzee mwenzangu??
 

Hahahhahhahahhaaaaaaaaaaa.............wee jamaa du :A S-baby:
 
Mnacheza kumfikisha mwanamke kileleni si mchezo hata kama ungejua kufanya yote. zipo sababu nyingi zinamfanya mwanake asifike kileleni siyo lazima kwamba mwanaume haji kufanya mapenzi.
 
Tena kama umechoka ndio kabisaaaa fake ziko nyingi sana, na sio kwamba anae fake afiki anakuwa labda kashafika jamaa bado du linachimba madini hapo ukimsindikiza na fake moja akuuuu huyo anashuka mwenyewe. Narudia tena hasa wale utawasikia nimefika mara tano kumbe mara mbili tatu fake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…